Lita 1 ya petrol inaweza kutembeza pikipiki ya TVS kilomita ngapi?

Naomba kuuliza lita 1 ya petrol inaweza kutembea kilomita ngapi kwa pikipiki za TVS

Kingine naomba kujua bei ya petrol lita 1 ni shilingi ngapi kwa sasa.
Bei zinatofautiana kutokana na mkoa uliopo.

Kwa Dar Petrol kwa sasa ni 3200 Tsh.

TVS vina engine ndogo cc 125 vinaweza kwenda hadi kilometa 50 kwenda juu, factors zipo nyingi mfano uendeshaji, milima au tanbarare, mzigo uliobeba service history...
 
Umean kilomota 50/litremkuu?? By the way mimi sibebi mzigo wala abiria na nipo town tu hapa k/nyama hakuna mabonde wala milima
 
Bei zinatofautiana kutokana na mkoa uliopo.

Kwa Dar Petrol kwa sasa ni 3200 Tsh.

TVS vina engine ndogo cc 125 vinaweza kwenda hadi kilometa 50 kwenda juu, factors zipo nyingi mfano uendeshaji, milima au tanbarare, mzigo uliobeba service history...
Nipo dar mkuu
 
Ni misele tu ya binafsi tena ni humu humu kuzunguka sinza kurudi makumbusho mwisho mwananyamala kurudi kijitonyama.
Job huwa naenda na daladala tu sipendi kurisk maisha yangu mzee kwenye barabara kubwa
Mi nimewahi miliki pikipiki mbili tu, KTM cc390 na CBR cc650. Nilipewa maangalizo mawili makubwa Wekeza Sana kwenye Usalama wako (Safety Gears) na kua na heshima sana barabarani.

Usichukulie poa.

Unakuta mtu anaendesha pikipiki na sendo. Aisee. Ukiangimuka unapoteza vidole vyote.

Bila kofia ngumu. Au anavaa kofia ya elfu 15 sijui zile unapewa bure ukinunua pikipiki. Siwasemi ila hamna kitu pale.

Unaendesha na vest, shati, bila koti.

Etc etc etc

Wekeza sana kwenye safety gear, kuan na heshima usiendeshe kama una haraka umeacha familia umeenda kutafuta ugali wanataka jioni urudi sio wao waje hospital kukuona.
 
Ni kweli kabisa mkuu heshima barabarani ndio jambo la msingi halafu usiende mwendo mkali sana binafsi huwa nikienda speed kubwa nagotea 60 na ukiangalia mtu ambae anaendesha speed ya kawaida hata akipata ajali zinakuwa azina madhala sana
 
Wekeza sana kwenye safety gear, kuan na heshima usiendeshe kama una haraka umeacha familia umeenda kutafuta ugali wanataka jioni urudi sio wao waje hospital kukuona.
Yeah

Asilimia kubwa ya taarifa mbaya, (bad publicity) ya usalama wa boda ipo kwenye ujinga na upumbavu wa waendeshaji. Kutovaa gear kiusahihi.

Lakini pia tena kuna shida ya vyombo vyetu vya viwango. Hivii anayepitisha ubora wa kofia ngumu (ile helmet) huwa amefumba macho? TBS mpo wapi.?

Siku nimepakizwa na boda helment yake ikadondoka kwa upepo. Kumuuliza alikuwa hajafunga kimkanda? Kasema amefunga na eti kamekatika kwa upepo! Upepo kweli imagine?

Helment yangu ya sifuri pia ilikatika kale ka strap yaani out of normal use! Hata sio ajali. Nayo niliichukua tu emergency kabla sijanunua helment yangu ya kwanza.

Swali kwa TBS, ile kofia ngumu inapitishwaje kama haijakidhi? Kamba hukatikia pabovu. Msiruhusu ubovu kwenye kitu kinachojinasibu kama 'mimi ni kofia ngumu ya usalama'

Ndio maana maafisa usafirishaji wenyewe wanalalamika kwamba kuvaa helment ni usumbufu tu, kwanza kwenye ajali yenyewe ndiyo inaanzaga kuchomoka. Sa ndo nini.

Anyway kwa mleta mada Travellerman Pikipiki haina mambo ya kuumiza kichwa kuhusu fuel consumption, kuwa na amani kabisa kwa kipengele hicho.
 
Ahsante mkuu pia hili swala la uvaaji wa kofia ngumu ni tatzo hz element % kubwa ya wasafirishaji wanazivaa tu kama kuegesha ili wasisumbuliwe na na maafisa usalama lakini sio kulinda usalama wa vichwa vyao
 
Mi nimewahi miliki pikipiki mbili tu, KTM cc390 na CBR cc650. Nilipewa maangalizo mawili makubwa Wekeza Sana kwenye Usalama wako (Safety Gears) na kua na heshima sana barabarani.

Usichukulie poa.

Unakuta mtu anaendesha pikipiki na sendo. Aisee. Ukiangimuka unapoteza vidole vyote.

Bila kofia ngumu. Au anavaa kofia ya elfu 15 sijui zile unapewa bure ukinunua pikipiki. Siwasemi ila hamna kitu pale.

Unaendesha na vest, shati, bila koti.

Etc etc etc

Wekeza sana kwenye safety gear, kuan na heshima usiendeshe kama una haraka umeacha familia umeenda kutafuta ugali wanataka jioni urudi sio wao waje hospital kukuona.
Jana maeneo ya puma headquarters ( kama unatokea port geti namba 3 kuelekea kamata).

Kuna jamaa kamwaga ubongo pale, alikua na SUZUKI 1200 cc, three pipes. Alikua akitokea ile njia ya bandarini kuelekea town, sasa maeneo yale kuna mkeka safi wa kuvutia lakini kuna kona za kizushi.

Jamaa katokea huko kajiachia kwenye ile barabara, ghafra bin vuu anakutana na sharp corner, bike ikamshinda akaenda chini, kichwa kikapiga kwenye ngema ubongo wote ukamwagika.

Hakuvaa helment zaidi ya miwani tu.
 
Back
Top Bottom