Wengine mnawezaje?

Melancholic

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,831
3,063
Binafsi nina muda mrefu sana nmekuwa single hii ni kutokana na uchumi wangu kutokuwa stable.

Kwa bahati nzuri katokea mtoto mmoja kitanga kanielewa sana.

Baada ya kumpata huyo mtoto nikapata mzuka nikatongoza mwingine pia akajaa na wote wananipenda sana.

Ila tatzo naona saiz uchumi wangu unashuka sana na ikumbukwe mimi sina kipato kikubwa japo hawa mabinti hawajahi kuniomba hela lakini kuna hv vishida vidogo vidogo kama vocha kuwatoa lunch na etc.

Sasa ndugu zangu kwa uchumi wangu jinsi unavyoporomoka kumenifanya mpaka nijute kuwatongoza hawa mabinti na nikisema niwaache pia nitaleta migogoro mingi maana hawa mabinti wananipenda mno na sijawahi hata kuwahonga ila changamoto ni kutokana na kipato changu ni kidogo mno kumiliki wanawake wawili yani hapa nipo njia panda sijui wenzangu mnao miliki mwanamke zaidi ya mmoja mnawezaje??? Ushauri wenu ndugu zangu maana kwa uchumi unavyoshuka naona kabisa nakuja kupotea soon na hapa tayari mmoja kashaniomba zawadi ya viatu kiukweli naona nachanganyikiwa sana
 
FB_IMG_16703917954022575.jpg

Vile unawaza kwa hasira bablai.
Taarifa Nusu zinawagharimu wengi Sana ... Kurasa ulizoruka zinakugharimu Braza.
 
Back
Top Bottom