Unakuta kijana mzima umeamua kuishi na mwanamke kama mkeo kwa tafsiri ni kwamba ulishaona

Melancholic

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,831
3,063
Vijana wenzangu mambo mengine niya kipuuzi na kutafutiana lawama.

Unakuta kijana mzima umeamua kuishi na mwanamke kama mkeo kwa tafsiri ni kwamba ulishaona kiuchumi una mmudu huyo mwanamke na ndio maana ukaishi nae sasa kwanini utupe kero vijana wenzako kwa starehe zako mwenyewe.

Kuna mshikaji tunatoka mkoa x wilaya moja hatuna urafiki kiivyo coz Melancholic huwa sitegemei marafiki katika ishu zangu tatzo. Huyu jamaa amekuwa kero kwangu yeye akinipigia simu ni mtu wa kuniomba msaada mbona wengine shida zetu tunatatua wenyewe yani jamaa amekuwa ombaomba utadhani yeye ni mwanamke hapa juzi kaamua kutoa mwanamke mkoani huko kaja kuishi nae jana ananipigia simu et mwanamke anaumwa kifua nayeye anabuku tu nikamwambia mie saiz pia sina kazi anaanza kulalamika

Et mara ooh..sijawahi kumpa hela hivi wewe kama umeamua kuowa kwa starehe zako ni kwanini utese wengine kwani mimi sitaki kuowa natamani sana kutoka kwenye mikono ya dronedrake sema ndio hivo uchumi aujaruhusu ila mwamba kutwa kunisumbua yani simu zake zote yeye ni kuomba hela aisee nasema sitoi ela na nina mlaba block kuanzia sasa hivi mambo mengine niya kipumbavu sana
 
Kuna mshikaji tunatoka mkoa x wilaya moja hatuna urafiki kiivyo coz Melancholic huwa sitegemei marafiki katika ishu zangu tatzo. Huyu jamaa amekuwa kero kwangu yeye akinipigia simu ni mtu wa kuniomba msaada mbona wengine shida zetu tunatatua wenyewe yani jamaa amekuwa ombaomba utadhani yeye ni mwanamke hapa juzi kaamua kutoa mwanamke mkoani huko kaja kuishi nae jana ananipigia simu et mwanamke anaumwa kifua nayeye anabuku tu nikamwambia mie saiz pia sina kazi anaanza kulalamika et mara ooh..sijawahi kumpa hela hivi wewe kama umeamua kuowa kwa starehe zako ni kwanini utese wengine kwani mimi sitaki kuowa natamani sana kutoka kwenye mikono ya dronedrake sema ndio hivo uchumi aujaruhusu ila mwamba kutwa kunisumbua yani simu zake zote yeye ni kuomba hela aisee nasema sitoi ela na nina mlaba block kuanzia sasa hivi mambo mengine niya kipumbavu sana
Hebu tutolee ufala humu. Kwanini usimwambie huko badala ya kuja kutupigia makelele humu
 
Uombwe hela na mwingine uje kutufokea sisi jf!

Kwanini usimwambie huyo muhusika direct? Hujiamini? Unamuogopa? Wanaume hatupo hivyo,kitu huwezi mwambie direct kuliko kuja kulia lia hapa jf kwa watu wasiokujua.
 
Be a dreamlifter kamilisa ndoto za wengine karma itakufata mkuu kama uwezo upo saidia wengine kwani wimbi linapopiga linatabia ya kurudi tena
Huyo jamaa kiuchumi navyomjua ni mzr zaidi yangu mpaka na nyumba alishajenga kaweka wapangaji na hapo alipo ana kazi mimi sina ila kutwa kujiliza kama mwanamke tena kwa watu ambao hata viwanja hatuna
 
Vijana wenzangu mambo mengine niya kipuuzi na kutafutiana lawama.

Unakuta kijana mzima umeamua kuishi na mwanamke kama mkeo kwa tafsiri ni kwamba ulishaona kiuchumi una mmudu huyo mwanamke na ndio maana ukaishi nae sasa kwanini utupe kero vijana wenzako kwa starehe zako mwenyewe.

Kuna mshikaji tunatoka mkoa x wilaya moja hatuna urafiki kiivyo coz Melancholic huwa sitegemei marafiki katika ishu zangu tatzo. Huyu jamaa amekuwa kero kwangu yeye akinipigia simu ni mtu wa kuniomba msaada mbona wengine shida zetu tunatatua wenyewe yani jamaa amekuwa ombaomba utadhani yeye ni mwanamke hapa juzi kaamua kutoa mwanamke mkoani huko kaja kuishi nae jana ananipigia simu et mwanamke anaumwa kifua nayeye anabuku tu nikamwambia mie saiz pia sina kazi anaanza kulalamika

Et mara ooh..sijawahi kumpa hela hivi wewe kama umeamua kuowa kwa starehe zako ni kwanini utese wengine kwani mimi sitaki kuowa natamani sana kutoka kwenye mikono ya dronedrake sema ndio hivo uchumi aujaruhusu ila mwamba kutwa kunisumbua yani simu zake zote yeye ni kuomba hela aisee nasema sitoi ela na nina mlaba block kuanzia sasa hivi mambo mengine niya kipumbavu sana
Hizi tabia sio za wanaume, ni za kivulana.
 
Bro hiyo ungekausha nayo tu kama mwanaume, hapo umezingua ni kama umeleta hoja, huku mwana tumuone kituko.
Ukiweza msaidie usipoweza kausha, kila mtu akileta hoja kama hizo itakuwa kero hapa.
 
Kuwa na roho ya utu na Huruma Kama huna pesa tumia hekima ya kukaa kimya huwezi kujua safari yako itakuaje .

Kuwa mtu wa kushukuru kwa kila Jambo usiwe mtu wa kuendeshwa kwa kiburi Cha Uzima.
 
Sasa unamwambia nani? Kama unamblock si basi? Unataka sisi tufanyeje?
 
Wakuu mimi ndio kiranja mkuu huku kuzimu yote yaliyosemwa sio kweli. Narudia tena ni uwongo mtupu.

Kunyweni bia sana imbeni na fanyeni ibada kujifurahisha mwili. Huku hakuna mambo ya duniani kwa hiyo fanyeni mpaka mzeekee.

Huku ni kuzuri ila sio kama duniani. Kuna shida na karaha kuliko duniani. Sio sehemu ya kufikiria kuja ukiwa na nguvu. Ni bora ukae gerezani kuliko kuzimu huku haina vitu vya duniani.
 
Back
Top Bottom