Msaada wa haraka, eneo gani Sinza wanauza Kitimoto?

Melancholic

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,831
3,063
Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama?

Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii.

Nawasilisha.
 
Mibs ...nenda big bon uliza utaonyeshwa wana chops na ribs za hatariii
 
Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama?

Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii.

Nawasilisha.

Mabatini pembeni ya headquarters liquor kuna mnyakyusa anatengeneza kitimoto tamu balaa.
 
Back
Top Bottom