Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,550
- 6,513
Kwa wakazi wa Mbagala au wanaojua zaidi kuhusu kukamilika mpaka kuzinduliwa kwa mwendokasi ya Mbagala naomba anijuze.
Coz kuna biashara nlitaka nijaribu kuibuni kwa huko mbagala ila inategemea zaidi kukamilika kwa mwendokasi.
Kuna wakati nliskia mwezi wa nne itakuwa tayari saiz nliskia et ni mwezi wa sita nikajaribu kuongea na mkazi mmoja wa huko yeye akaniambia kwa anavyoona mpaka kukamilika kwa mwendo kasi inaweza kuwa mwezi wa 8 sasa sijajua mwenye info zaidi kuhusu kuanza kazi kwa mwendokasi ya mbagala naomba anijuze.
Natanguliza shukrani.