Eneo hili la fukwe Ununio linafaa kwenda kuangalia kichupa cha EPL live?

Melancholic

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,831
3,063
Wakuu, kwa wale ambao mlishatembelea fukwe za ununio aisee ni nzuri balaa kuna lounge za kibabe sana maeneo yale natarajia hii game ya Arsenal na Manchester city niende kuitazama katika fukwe hizo.

naona tv zipo za kutosha ila sijajua kama kuna access ya dstv kwa maeneo yale wenye uzoefu na mazingira hayo mtupe ufafanuzi kama tunaweza kucheki hicho kichupa cha EPL live kutoka fukwe hizo.

IMG_20231001_184724.jpg

Note: kule usiende na pesa za mawazo bei ya vyakula, vinywaji mpaka pisi imechangamka kidogo.
 
View attachment 2770203

Note: kule usiende na pesa za mawazo bei ya vyakula, vinywaji mpaka pisi imechangamka kidogo.
Mkuu, Dynasty na Xanadu Lounge hapafai kuangalizia EPL kwasababu weekend kuna watoto teenagers wanajaa hapo wanacheza music hautafaidi. Ni bora uende Club 25 ile ya watu wazima, mitaa ya Africana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom