Ushauri wako ni muhimu sana

Melancholic

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,831
3,063
Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.

nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka.

Bac muhusika akaniahidi kupiga simu ofisi ndogo ya kariakoo kwa siku ya kesho ambayo ilikuwa jumamosi ili kunichekia stool kwa bei tuliokuwa tumekubaliana. Ila yeye ofisi yake ipo makumbusho.

Ni kweli ilipofika jumamosi asubuhi muhusika alinitafuta akaniambia simu niliyokuwa nikihitaji imepatikana ila kaongea na mtu wa stool kwamba yeye ndio kanituma nimchukulie hiyo simu kwa bei ya 160k kwamba anamchukulia mdogo wake,

Tukaelewana basi akanitumia namba ya mtu wa stool tukawasiliana nikamuelekeza hivo kwamba jamaa kaniagiza simu aina flani nimpelekee makumbusho na nimpe kiasi cha 160k,
bac huyu mtu wa karikoo akakubali ila akaniambia niende na mfuko ili bosi asistukie mchezo nkamwambia poa.
Na hapo tulikubaliana wanipe fullbox kabisa.

Bac nikaenda kariakoo maeneo ya mkombozi bank tukakutana na jamaa wa stool akaniomba mfuko na hela hapo ndipo nilipofanya kosa sijui jamaa huwa wanatumia madawa au vp aisee amuwezi amini yule jamaa alinichota akili nikamkabidhi pesa yote 160k na mfuko.
Tukaenda kwenye ghorofa flani akaniambia nimsubili kwa nje baada ya dakika 5 ndio faham zinarudi kwamba nishaibiwa na kweli jamaa alivyotokomea akurudi.

Bac nikawapigia simu awakupokea wote wawili hapo nkajua tayari nishakaribishwa mjini. Bac kuna watu wakanishauri niende msimbazi polisi kuchukua rb ni kweli nikaenda msimbazi nikawaelezea jinsi tukio lilivyotokea askari wakaniambia wao awawezi kunipa rb sababu huo ni wizi wa kuaminiwa inamaana kwamba mimi nilimuamini mtuhumiwa wangu nikamkabidhi pesa hivyo niende mahakamani kufungua kesi ya madai.

Bac nikaondoka zangu ni sijamwambia mtu yoyote kuhusu hilo tukio. Ndio nimeona nililete kwenu mnisaidie ni vp naweza kuwapata watuhumiwa wangu maana awajazima simu wanapatikana muda wote ila simu yangu ndio awapokei namimi pia sijataka kuwatafuta tena na jana kuna mmoja alinipigia sikupokea coz nilikuwa mbali na simu ila baadae nikamchek akapokea halafu akasema atanitafuta ndio ajanitafuta mpaka sasa.

Mnaweza kuniona mjinga lakini kiukweli kwa muda ule fahamu zilikuwa zimefungwa sijui ni dawa au ni nini? Ila ndio hivo nahitaji ushauri wa kuwakamata hawa watu maana simu zao zinapatikana muda wote.

Ahsanteni na karibuni kwa mchango wenu.
 
Leta 20,000 tuka waroge wa takutafuta wenyewe ndani ya siku 3, na pesa yako na simu na kukuomba msamaha sio masihara watu wapo
 
Stool unamaanisha nini kwenye huo ulimwengu wa kuuziana simu?. Maana sisi ina maana ya haja kubwa kwa ajili ya kupima minyoo na mambo mengine.

Turudi kwenye mada. Kinachoonekana hapa ni tamaa. Wala si mambo ya ufahamu. Sijui simu ilikuwa bei gani, ila lazima itakuwa ghali zaidi ya hiyo 160k.

Cha kufanya, jisamehe. Umejifunza na hutokamatika tena. Kuendelea kufuatilia ni kujitafutia hasara kubwa zaidi. Kumbuka nafuu ni ghali.

Hakuna cha kukamatwa ufahamu. Yaani umepigiana naye simu, mkakubaliana. So, huo upuuzi wako unasafiri kwa waves za mtandao? Upuuzi.
 
Tumia hii iwe kama funzo kwako ili usipigwe kizembe siku nyingine. Kwa swala la kesi ama kupata pesa yako, hiyo sahau. Ushaumizwa hapo.

Kilichokuponza hasa ni tamaa ya kutaka simu ghali kwa bei nafuu, ukijua fika kuwa mwenye duka ilikuwa anaenda kuibiwa endapo ingekuwa kweli.

Jichange uende dukani ukanunue simu nyingine.

Pole sana na usijione mjinga kama wengi watakavyokuita humu maana jamaa wana mbinu mno. Yeyote anaweza kuwa muhanga.
 
Kijana unadhan upo kishumundu uchagani... Hata ningekua mimi ningekupiga hizo pesa... Hapo hamna kesi hata ukienda mahakamani unafunguaje kesi..? Police wameona unawachosha tu na kutojitambua kwako... nakushauri mjini huwa hatupelekani mahakaman au police, mjini ukidhulumiwa UNAUA UNAROGA AU UNAMTOA MTU MARINDA LIVE RECORD... Ukijifanya mlokole swala tano basi chapa lapa...
 
Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.

nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka.

Bac muhusika akaniahidi kupiga simu ofisi ndogo ya kariakoo kwa siku ya kesho ambayo ilikuwa jumamosi ili kunichekia stool kwa bei tuliokuwa tumekubaliana. Ila yeye ofisi yake ipo makumbusho.

Ni kweli ilipofika jumamosi asubuhi muhusika alinitafuta akaniambia simu niliyokuwa nikihitaji imepatikana ila kaongea na mtu wa stool kwamba yeye ndio kanituma nimchukulie hiyo simu kwa bei ya 160k kwamba anamchukulia mdogo wake,

Tukaelewana basi akanitumia namba ya mtu wa stool tukawasiliana nikamuelekeza hivo kwamba jamaa kaniagiza simu aina flani nimpelekee makumbusho na nimpe kiasi cha 160k,
bac huyu mtu wa karikoo akakubali ila akaniambia niende na mfuko ili bosi asistukie mchezo nkamwambia poa.
Na hapo tulikubaliana wanipe fullbox kabisa.

Bac nikaenda kariakoo maeneo ya mkombozi bank tukakutana na jamaa wa stool akaniomba mfuko na hela hapo ndipo nilipofanya kosa sijui jamaa huwa wanatumia madawa au vp aisee amuwezi amini yule jamaa alinichota akili nikamkabidhi pesa yote 160k na mfuko.
Tukaenda kwenye ghorofa flani akaniambia nimsubili kwa nje baada ya dakika 5 ndio faham zinarudi kwamba nishaibiwa na kweli jamaa alivyotokomea akurudi.

Bac nikawapigia simu awakupokea wote wawili hapo nkajua tayari nishakaribishwa mjini. Bac kuna watu wakanishauri niende msimbazi polisi kuchukua rb ni kweli nikaenda msimbazi nikawaelezea jinsi tukio lilivyotokea askari wakaniambia wao awawezi kunipa rb sababu huo ni wizi wa kuaminiwa inamaana kwamba mimi nilimuamini mtuhumiwa wangu nikamkabidhi pesa hivyo niende mahakamani kufungua kesi ya madai.

Bac nikaondoka zangu ni sijamwambia mtu yoyote kuhusu hilo tukio. Ndio nimeona nililete kwenu mnisaidie ni vp naweza kuwapata watuhumiwa wangu maana awajazima simu wanapatikana muda wote ila simu yangu ndio awapokei namimi pia sijataka kuwatafuta tena na jana kuna mmoja alinipigia sikupokea coz nilikuwa mbali na simu ila baadae nikamchek akapokea halafu akasema atanitafuta ndio ajanitafuta mpaka sasa.

Mnaweza kuniona mjinga lakini kiukweli kwa muda ule fahamu zilikuwa zimefungwa sijui ni dawa au ni nini? Ila ndio hivo nahitaji ushauri wa kuwakamata hawa watu maana simu zao zinapatikana muda wote.

Ahsanteni na karibuni kwa mchango wenu.
pole sana mkuu, hapo cha msingi ni ww kuikubali hiyo hasara ili maisha yaendelee. nasema hivyo kwasababu ukisema ufungue kesi utapoteza muda na pengine pesa zaidi na finally hakuna jipya la maana utakalo pata.

mambo ya online, mwezi wa 4 mdogo wangu mmoja amepigwa tukio kama hili, tena laki tatu na nusu 350,000/=, saivi tena hana na mji.!
 
Pole sana hapo umelizwa.

Labda niaanze kwa kukuuliza huyo jamaa wa kwanza uliyewasialiana nae akakupa bei, umejuana nae vipi na mawasiliano yake umeyapata wapi?
 
Facebook mzee katika magroup ya kuuza simu used
 
Tafta polisi wahonge wamtrack jamaa ashikwe apewe kichapo alipe hela yako mara mbili na ya polisi.
N.B polisi ataekusaidia muwe mnafahamiana ukienda kichwakichwa utapigwa nyingine
Wanaweza wakataka bei gani?
 
Tumia hii iwe kama funzo kwako ili usipigwe kizembe siku nyingine. Kwa swala la kesi ama kupata pesa yako, hiyo sahau. Ushaumizwa hapo.

Kilichokuponza hasa ni tamaa ya kutaka simu ghali kwa bei nafuu, ukijua fika kuwa mwenye duka ilikuwa anaenda kuibiwa endapo ingekuwa kweli.

Jichange uende dukani ukanunue simu nyingine.

Pole sana na usijione mjinga kama wengi watakavyokuita humu maana jamaa wana mbinu mno. Yeyote anaweza kuwa muhanga.
Ahsante mkuu kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom