Search results

  1. Southern Highland

    Kuna nini cha ziada kwa matunzo haya ya mbwa?

    Kuna nini cha ziada kufuga no sio kufuga ni kumpa matunzo haya mbwa huyu? Je, kipo ambacho wengi hatuoneshwi au ni mapenzi tu kwa mnyama huyu? Lakini pia kufuatia na tukio la juzi mbwa kujeruhi watu wanaomfuga ni ipi hatari kwa dada huyu mlezi wa mbwa? Huyu anatofauti gani na yule mbwa alojeruhi...
  2. Southern Highland

    May be this love not for me

    Mimi weekend yangu inaenda ivyo. Sina jambo kwa mchumba
  3. Southern Highland

    Bora uvunje viti ukiwa na jezi ya YANGA kwenye mechi ya YANGA

    Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha...
  4. Southern Highland

    IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

    IDF wameshasema lengo lao ni viongozi wa HAMAS kwa hiyo wanawasaka popote walipo na HAMAS wameona sehemu ya kutafuta huruma kwa mataifa mengine ni kujificha kwenye miundombinu ya kutolea huduma za kijamii. Muhimu amani ipatikane
  5. Southern Highland

    Yanga ni kama ule mti wenye matunda mtaani

    Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na wachache wakiiandika kwa mazuri. Lakini lengo lao kubwa kupata attention. Kuna wengine hawana hoja kutwa...
  6. Southern Highland

    Msaada: Samsung A50 inajirestart

    Wakuu ni saidieni hii simu inajirestart yenyewe hasa baada ya kutumia kwa muda fulani
  7. Southern Highland

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini shughuli ndio imeishia hapa kwa Yanga

    Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa. Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
  8. Southern Highland

    Alianza na wakili Nduruma, akaja na mama na shangazi(wakili) sasa amekuja na Jasmine Razack

    Sakata la Feisal na klabu ya Yanga bado linaendelea katika mgogoro wa kimkataba kati ya Young Africans na mchezaji wake Feisal Salum ambaye alitaka kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu hivyo kuamrishwa kuja kufanya mapitio ya kimkataba na club yake. Sasa mara hii kaja na Jasmine Razack...
  9. Southern Highland

    Swala la Feitoto ni PROPAGANDA iliyopangwa kimkakati

    Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi. Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo...
  10. Southern Highland

    TANESCO mnakata utamu wa World Cup

    Tanesco popote mlipo mmeuvunja vunja moyo wangu Jana Jumapili !wameacha umeme toka asubuhi wamekata sa 10 jioni hivyo sikubahatika kuangalia hata sherehe za ufunguzi nikajisemea isiwe kesi kesho ipo nitaangalia. Wamekuja kurudisha umeme sa 6 usiku kuamkia leo. Haya unapopanga yako na wenyewe...
  11. Southern Highland

    Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    Habari za wakati huu wapambanaji na msio wapambanaji. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie katika hili hasa kupitia hii mifuko ya uwekezaji wa pamoja. Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata shilingi milioni 2 kila mwezi na kwa mtaji kiasi gani. Pia niliwahi kusikia unaweza kukopa bank kwa...
  12. Southern Highland

    Mlisema hatutoboi (The Blues) haya nawaalika mje mjitete hapa

    Kunako michuano ya Uefa Champion Lague iliyofikia hatua ya mtoano (16 bora) baada ya draw kupangwa walijitokeza watu kutoa maoni yao juu ya timu zitakazo fuzu kwenda hatua ya robo fainal lakini cha kushangaza wengi wao waliipuzia timu ya Chelsea wakiamini haitaweza kutoboa baada ya kupangwa na...
  13. Southern Highland

    Landrover Defender ipo sokoni

    Gari kali chuma ya mbrittish Colour-Silver Year-1995 Engine-TDi 300 CC-2495 Fuel-Diesel Mileage-189463 IMEUZWA TAYARI~ SOLD
  14. Southern Highland

    Fahamu utofauti wa Asset na Liability

    Salaam wakuu. Nimeitoa huko nikaona itapendeza nikishare nanyi. Hiyo hapo tiririka nayo. ASSET~ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo. LIABILITY~ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako. Ukitaka kuwa tajiri hiki ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia kazi...
  15. Southern Highland

    Naomba ushauri wenu walimu, wazazi na walezi

    Huwa mnatumia mbinu gani kwa watoto ambao viwango vyao kielimu (darasani) wanashuka. Yani hapandi au ana mantain hapo hapo. Napata shida nina mdogo wangu (ke) yani hapandi. Na wastani wake ni mbovu. Mwakani hapo ana NECTA. Naombeni ushauri na maoni yenu tafadhali. Nina imani muda bado upo na...
  16. Southern Highland

    HII ORODHA YA WAPENZI NI PASUA KICHWA ISEE

    Kama kichwa kinavyojieleza. Tushuke nao hapa. *1. VIPWENTE* - _Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anaweza Akakumiss Hadi Anahisi Network Zinakatika...Lakini Hakutafuti Ng'ooo Iwe Ni Kwa Message Au Laivulaivu, Kwasababu Hataki Kuonekana Wakwanza Kukutafuta._ *2. VIMBUNDU* - _Hawa Ni Aina Ya...
  17. Southern Highland

    Hapa ni misemo tu

    Habari zenu wana jukwaa..!! Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Leo naomba iniwekee misemo uliyowahi kukutanana nayo ikakufurahisha, kuchekesha au ilikushangaza.. Mimi naanza na huu hapa: _DUA ZENU WAPENDWA_ *Nakatisha mtaa wa jangwani mda huu nimebeba mbao*[emoji23][emoji23][emoji23]...
Back
Top Bottom