Bora uvunje viti ukiwa na jezi ya YANGA kwenye mechi ya YANGA

Southern Highland

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
13,198
21,534
Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha.

Kutokana na situation hiyo hakukua na namna zaidi ya kuilipisha fine Yanga jambo ambalo kwa upande wangu naona ni sawa kwa 50%. Sasa kuelekea mechi ya leo dhidi ya Medeama mashabiki wamemriwa kuingia uwanjani wakiwa na jezi ya Yanga original. Tafsiri yake ni kheri uvae jezi ya Yanga ukafanye fujo kuliko uvae matambala mengine halafu bado ufanye fujo zako hii ni dharau kubwa.

Hongera sana uongozi kwa uamuzi huu. Hutaki jezi ya Yanga kalipie VIP huko ukajaribu vurugu zako.
 
Wavae jezi kwanza za Yanga kabla ya kwenda kuharibu tena vile viti. Maana hawa jamaa ndiyo waharibifu wakuu wa huo uwanja.
 
Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha.

Kutokana na situation hiyo hakukua na namna zaidi ya kuilipisha fine Yanga jambo ambalo kwa upande wangu naona ni sawa kwa 50%. Sasa kuelekea mechi ya leo dhidi ya Medeama mashabiki wamemriwa kuingia uwanjani wakiwa na jezi ya Yanga original. Tafsiri yake ni kheri uvae jezi ya Yanga ukafanye fujo kuliko uvae matambala mengine halafu bado ufanye fujo zako hii ni dharau kubwa.

Hongera sana uongozi kwa uamuzi huu. Hutaki jezi ya Yanga kalipie VIP huko ukajaribu vurugu zako.
Kitendo walichokifanya yanga kwa coastal union kwenye fainali ya Caf confederation cup mpaka kupelekea kuua shabiki wa coastal kwasababu alikuwa amevaa jezi ya simba wangefanyiwa yanga basi wangepiga kelele mpaka leo ila kwa kuwa Tanzania team ndogo hazifuatiliwi inafuatiliwa simba na yanga basi twendeni hvyo ila yanga punguzeni kulalamika na viongozi wenu washawajua wanatumia kigezo hcho kuwafanya wapuuzi na ile mechi ndio ilifanya manara afungiwe walichokifanya yanga siku ingekuwa ENGLAND basi mashabiki wote wangekuwa wamezuia kuingia uwanjani mpaka sasa
 
Kitendo walichokifanya yanga kwa coastal union kwenye fainali ya Caf confederation cup mpaka kupelekea kuua shabiki wa coastal kwasababu alikuwa amevaa jezi ya simba
Coastal Union kwenye Caf Confederation Cup?

Mshabiki gani alikufa? Mbona mnapenda kuzua zua mambo nyie watu
 
Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha.

Kutokana na situation hiyo hakukua na namna zaidi ya kuilipisha fine Yanga jambo ambalo kwa upande wangu naona ni sawa kwa 50%. Sasa kuelekea mechi ya leo dhidi ya Medeama mashabiki wamemriwa kuingia uwanjani wakiwa na jezi ya Yanga original. Tafsiri yake ni kheri uvae jezi ya Yanga ukafanye fujo kuliko uvae matambala mengine halafu bado ufanye fujo zako hii ni dharau kubwa.

Hongera sana uongozi kwa uamuzi huu. Hutaki jezi ya Yanga kalipie VIP huko ukajaribu vurugu zako.
Umeandika upuuzi/matakataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom