Kuna nini cha ziada kwa matunzo haya ya mbwa?

Southern Highland

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
13,194
21,527
Kuna nini cha ziada kufuga no sio kufuga ni kumpa matunzo haya mbwa huyu? Je, kipo ambacho wengi hatuoneshwi au ni mapenzi tu kwa mnyama huyu? Lakini pia kufuatia na tukio la juzi mbwa kujeruhi watu wanaomfuga ni ipi hatari kwa dada huyu mlezi wa mbwa? Huyu anatofauti gani na yule mbwa alojeruhi familia yake.

Mnaofuga hivi mtupe majibu.

 
Maarifa yakikaa pamoja hunufaisha wengi kuliko yakiwa yamesambaratika vipande vidogovidogo. Hata wewe wazo la kuanzisha mada hii umelipata baada ya kusoma habari ile. Kwanini maarifa haya yasisogezwe kule ili kupata kitu kikubwa zaidi?
Mantiki ya huu uzi ni kutaka kujua haya matunzo anayopewa mbwa huyu kuna nini cha ziada.? Mantiki ya uzi ule ni kwanza ni taarifa ya mbwa alichokifanya na pia ni tahadhari kwa wafugaji na wengine waliokaribu na mbwa hao.
 
Ndio maana wenyewe kwa wenyewe huwa wananasa...
Amna kwa binadamu hawezi nasa. Ile natural fluid kutoka kwenye coochie inalainisha mambo. BTW nilishawahi ona porn ya mbwa na mwanamke. Na mwanamke analia vizuri tu kuashiria ukuni umemkolea
 
Mantiki ya huu uzi ni kutaka kujua haya matunzo anayopewa mbwa huyu kuna nini cha ziada.? Mantiki ya uzi ule ni kwanza ni taarifa ya mbwa alichokifanya na pia ni tahadhari kwa wafugaji na wengine waliokaribu na mbwa hao.
Mkuu,ukiangalia hizo clip kwa umakini utagundua kua hilo ni kama tangazo la biashara kwa mtu anayesupply hizo bidhaa zote za Mbwa unazoziona kwenye hizo clip,

"All product used linked in my Bio"
 
Back
Top Bottom