Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,190
- 21,522
Mkuu we cheka tuHii kitu imenifanya nicheke sana
Hahahaaa.. Ivi assume hii scanner tungekua tunatumia kabla hatujaoa au tunapotongoza palehio scanner ni nomaa
Hata mimi ninge toka mbio
Hahahaaa.. Ivi assume hii scanner tungekua tunatumia kabla hatujaoa au tunapotongoza pale
Hahaaa mkuu umewakubali eeh.?imebidi niwafuate u tube
Hahaaa.. Mkuu mpaka mwenye scanner kakimbia.Lol. Nimecheka sana. Scanner imechoka kuhesabu mabwana wa demu. Me kwanza nilijua inam scan mwanamme tu. Loh demu kaumbuka