Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,286
- 24,144
Write a short paragraph.
Kaka ni kawaida mimi na yeye kushikiana simu ila nashangaa kwa siku ile ikawa tofautiSasa we unataka simu ya mwenzip ili iweje?? Ya kwako nilikuwa wapi??
Mi ni mwanaume, sijiiti mwanaume.na wewe unajiita mwanaume?
Since kila mtu ana simu yake,now days s busara kushika shika kukaa nayo au kupokea na kupekua chochote katika simu ya mwenzi wako.Kaka ni kawaida mimi na yeye kushikiana simu ila nashangaa kwa siku ile ikawa tofauti
Mi ni mwanaume, sijiiti mwanaume.
Du!Sasa we unataka simu ya mwenzip ili iweje?? Ya kwako nilikuwa wapi??