Search results

  1. SHANTI

    Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  2. SHANTI

    Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila niayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  3. SHANTI

    Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  4. SHANTI

    Rais Samia peleka zabuni tuinunue Manchester UTD tupate FDI ya uhakika

    Habari wana jamvi JF, Baada ya muda mrefu leo nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu pendwa ya JMT chini ya Rais wetu shupavu Samia Suluhu Hassan, Lengo langu ni kumuomba aione haja ya taifa letu Tanzania kuwa na uwekezaji wenye tija nje ya taifa letu la Tanzania. Hivi karibuni wamiliki wa...
  5. SHANTI

    Waziri Nape Nnauye tuanzie ulipoishia

    Nakukumbusha Mh. Waziri mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds. Kisha tuendelee na mapendekezo ya tume huu ndio muda wa kuikomboa tasnia. Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani...
  6. SHANTI

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Wasalaam wanabodi, Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea. Chama tawala CCM walianza kwa kishindo kikubwa pale dodoma na kuonesha ukubwa wa idadi ya...
  7. SHANTI

    Uchaguzi 2020 NEC na ZEC Tumieni QR CODE na USSD Code kuhakiki Taarifa za Wapiga Kura

    Zoezi la uhakiki wa taarifa za mpiga wapiga kura wapya linafanyika sehemu mbalimbali Tanzania. Zoezi hili kinakwenda taratibu kana kwamba hatuna mifumo inayoweza kurahisha kazi na badala yake muda mwingi unapotea na malalamiko yanaongezeka. Kupanga foleni imekuwa ndio utaratibu wa kupata...
  8. SHANTI

    Dar es Salaam maisha yamerudi upya

    Asubuhi ya leo nilipotoka kuelekea kazini sikuamini macho yangu nilipokutana na foleni. Moyoni nilijiuliza ni macho yangu au maisha yetu yamerejea kawaida katika hali yake ya zamani. Jioni nilipotoka ofisini na kuingia barabarani nilithibitsha bila shaka kuwa maisha yetu YAMERUDI kama zamani...
  9. SHANTI

    Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

    Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020. Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni. Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa...
  10. SHANTI

    Trump aagiza shule zifunguliwe haraka

    Kupitia ukurasa wake Twitter Rais wa Marekani amesema lazima shule nchini kwao zifunguliwe haraka. ===== After a morning of golf, President Trump was up late Sunday night tweeting, this time about the reopening of America’s schools, most of which were closed in March during the covid-19...
  11. SHANTI

    Sasa Dunia imetuelewa Tanzania kuhusu COVID-19

    Janga la COVID19 lilipopamba Moto, sisi Kama Taifa tulichagua option ngumu Sana kupita zote. Kutofunga makanisa,misikiti na nyumba za ibada. Tukachagua kusali na kuomba Mungu atuvushe. Tukachagua kuvaa barakoa, kujifukiza a.k.a nyungu na kuishi kwa tahadhari kwa sababu hili Jambo Ni kuliko...
  12. SHANTI

    Kenya wanaanza kutuelewa sasa

    Sina mengi ya kusema Ila huko kwa watani zetu wa jadi kiuchumi Kuna Kila dalili za KUTUELEWA maamuzi tuliyochukua. Nasikia na wao wanatilia Masha rapid test za Corona na majibu yake. Kwa mujibu wa citizen hiki ndicho kinasemwa na wizara yao ya afya . Pakua picha hapo chini Dr. Amoth, DG, MoH...
  13. SHANTI

    Mbowe achana na hekaya za CCM na Membe, anza na haya mapema

    Kwa kipindi kirefu CCM wamekuwa kwenye mvutano na makada wao nguli kwenye siasa za Tanzania -- Bernard Membe, Kinana na Makamba -- wanaotuhumiwa kwa utovu wa nidhamu, na hivi majuzi wametakiwa kufika mbele ya Kamati Ndogo ya Nidhamu. Taarifa hizi zimechukuwa sehemu kubwa ya mijadala ya kitaifa...
  14. SHANTI

    Attn:Avatar ya Maxence itumike na kila Mwana Jamii Forum Siku atakayopanda Kizimbani

    Ndugu wana JF, Ningependa kutoa wito kwa kila mwenye akaunti humu JF,instagram,twitter na facebook na WhatsApp kubadali profile picture au Avatar yake kila siku ambayo mwanzilishi wetu wa jamii forum Bw. Maxence Melo atakapokuwa anapandishwa kizimbani ikiwa ni ishara ya kuonesha kwamba tupo...
  15. SHANTI

    Ushauri: Nataka nifanye biashara ya Tracking car

    Mimi ni mjasiliamali mwenye lengo la kuanzisha kampuni itakayofanya kazi ya kutrack magari popote yalipo kwa mfumo wa GPS Concept yake ya ufanyaji kazi haitofautiani kabisa na Car track , isipokuwa nimeamua kuleta ushindani. Shida yangu hasa je, ni kampuni gani niwaone ili wanifungie mitambo...
  16. SHANTI

    TID na Q-Chief wamaliza Beef lao rasmi

    Hatimaye lile bifu lililodumu kwa miaka kadhaa baina ya mastaa wawili wa muziki waliounda Top Band , TID na Q-CHIEF llimezikwa rasmi leo ndani ya studio za CLOUDS FM. Mastaa hao wamehaidi kuja na kasi ya ajabu ili kuwafukuza wadogo zao na kurudisha enzi zao
  17. SHANTI

    Clouds FM & Umoja wa Wasanii wamemuandalia Rais Kikwete sherehe ya kumuaga

    Katika kuonyesha mapenzi ya dhati aliyoyaonesha kwa vijana na tasnia nzima ya sanaa na burudani hatimaye Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekubali mwaliko wa tafrija ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na kituo maridhawa cha burudani Clouds Media Group (CMG) na Umoja wa wasanii. Tafrija hiyo...
  18. SHANTI

    Lulu amlipua Wema ubunge viti maalum

    Kufuatia kupost maneno yanayoelekea kupiga kijembe viti maalum imetafrisiriwa kuwa ni kijembe kwa Wema Sepetu. Lulu ameandika sura nzuri peleka reception, Tako Peleka (..)hapa ni vyeti na alama za pass, pass..
  19. SHANTI

    Wassira bado kalala anasubiria matokeo ya tano bora

    Kama ujuavyo mzee wa kusinzia al-maarufu tyson , inasemekana bado ameuchapa usingizi mzito na bado hajayasikia matokeo ya top 5. So huenda akashtuka usingizini baadaye na kuulizia jina lake AhahaaaA just jokes
  20. SHANTI

    January Makamba is the next Tanzania Foreign Minister

    Kwa mujibu wa matokeo ya jana ni dhahiri Membe na wazee wenzie wana nafasi kubwa kupewa bendera ya chama. Kwa sababu hiyo namuona kijana wa bumbuli akienda kukitwaaa cheo cha waziri wa mambo ya nje ili kumkomaza kidiplomasia kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake jakaya na membe. Inaonekana ile...
Back
Top Bottom