Waziri Nape Nnauye tuanzie ulipoishia

Waziri Nape Nnauye tuanzie ulipoishia

SHANTI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
296
Reaction score
365
Nakukumbusha Mh. Waziri mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds.

Kisha tuendelee na mapendekezo ya tume huu ndio muda wa kuikomboa tasnia.

Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani alimtuma, Kama vipi Ubaya Ubaya tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arudishe bunge live tuone michango ya wabunge wetu
 
Nakukumbusha Mh. WAZIRI mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds.

Atatumbuliwa baada ya wiki moja na ndio utakua mwisho wake ktk siasa labda januaro makamba aje kiwa rais ndio labda ana chansi ya kurudi
 
mbwai mbwai uongo! watu watakimbilia msumbiji
 
Atatumbuliwa baada ya wiki moja na ndio utakua mwisho wake ktk siasa labda januaro makamba aje kiwa rais ndio labda ana chansi ya kurudi
Kwa zaidi ya miaka watu wamekuwa wanauliza ni lini serikali itachukua hatua dhidi kitendo kile Sasa "kidile mwali kivike" na mwenye ngoma yake atueleze mbivu na mbichi otherwise makonda asafishwe na yeye abaki na aibu yake
 
Arudishe bunge live tuone michango ya wabunge wetu
Hapa sina uhakika Ila ni moja ya madoa ambayo Watanzania tulibaku kumlaumu. Ikiwekana alete muswada turejeshewe utamu wa Bunge live
 
If patient was a person

Screenshot_20220108-195157_WhatsApp.jpg
 
Ulitaka kuwa mtu mwema acha visasi.Mh.Nape amejifunza mengi asamehe ,malipizo ni hapa duniani.Uvumilivu wake ni moja ya sifa zilizomrudisha Serikalini
 
Najaribu kujiuliza maswali mengi hasa pale nipo msikiliza @nape akihojiwa na Salama Jabri katika vipindi vyake,sasa naona ile Report ya Uvamizi wa CMG kama utatolewa! na hapo Ndipo namuona Makonda kupelekwa mahakamani, Kwa kuwa ni tukio lililotengenezwa na mtu kipindi hicho akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar na alionekena katika video! Hata Nape alipozuiwa kutoa press na kutolewa bastola ni sinema ya kutengenezwa. Nini maoni yako juu ya hili??
 
Back
Top Bottom