Kenya wanaanza kutuelewa sasa

SHANTI

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
296
365
Sina mengi ya kusema Ila huko kwa watani zetu wa jadi kiuchumi Kuna Kila dalili za KUTUELEWA maamuzi tuliyochukua.

Nasikia na wao wanatilia Masha rapid test za Corona na majibu yake.

Kwa mujibu wa citizen hiki ndicho kinasemwa na wizara yao ya afya . Pakua picha hapo chini

Dr. Amoth, DG, MoH: Some of the challenges with rapid kits is that the test could come out as negative & change in 14 days making these false negatives. Sometimes common colds could test positive for coronavirus causing false positives

IMG_20200521_130547.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Corona ukiiendekeza sana inakuongezea tu hofu ya kuishi. Yaani unajikuta ukiumwa tu kichwa, kifua au kupatwa na mafua! unahisi tayari umeshaipata.

Mbaya zaidi tulitishwa ya kwamba inaua!! Virus vya kipuuzi sana hivi. Uenezaji wake wenyewe tu, umejaa utata.
 
Yaani nimekutana na jamaa kavaa groves mpaka zimebadirika rangi kuwa njano, achilia mbali barakowa toka yupo hapa ofisini saa 03:30 asubuhi mpaka sasa hivi hajavua.

Haya kenya nao haooo na hapo bado hawajapima mapapai au kuku 😷!!
 
Wanajifanya hawauoni uzi huu, kazi yao kutucheka sie ili wajione bora na uchovu wao wa kila aina. Mambo mengi yanatokea Kenya wala sie hatucheki wala kujishughulisha nayo, tunaangalia tu hata kuwaonea huruma na huruma zetu za asili, na utu wetu wa asili ambao hawana.

Umeona vurugu mitaani Nairobi dhidi ya lockdown?
 
His name is Jiwe,the man himself...ccm members call him "bulldozer"

That's the only way you can define him
 
Yaani hii inaitwa utajua hujui. Kihere here chote cha 'Curfew' sijui lockdown wanakwenda angukia pua. Wazungu nyoko Sana Ila Safari hii wamekutana baharia na mkuu wa beach boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
His name is Jiwe,the man himself...ccm members call him "bulldozer"

That's the only way you can define him
Nikiangalia jinsi gazeti la the sun walivyoandika. Ni dhahiri Sasa hivi wazungu wanamuiga Magufuli kiaina.

Uingereza na wao wanaangalia mpango wa kurudi shule by 1june 2020.
Sasa so wampongeze mwanetu.

Ila kwenye hili CCM hamtaacha kumshangaa mzee wenu.
Angalia kiambatanishi hapo chini

Screenshot_20200521-135753.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajifanya hawauoni uzi huu, kazi yao kutucheka sie ili wajione bora na uchovu wao wa kila aina. Mambo mengi yanatokea Kenya wala sie hatucheki wala kujishughulisha nayo, tunaangalia tu hata kuwaonea huruma na huruma zetu za asili, na utu wetu wa asili ambao hawana.

Umeona vurugu mitaani Nairobi dhidi ya lockdown?
Dondosha picha kujazia nyama kwenye Uzi.
Wanaishi maisha magumu kuliko umaridadi waliouchagua.

Wamemsemaaa wee Rais wetu eti ukaidi wa Magufuli. Mwezi huu hauishi kitanuka kweli kweli wasipokuwa makini. Njaa mngunduzi wa matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Corona ukiiendekeza sana inakuongezea tu hofu ya kuishi. Yaani unajikuta ukiumwa tu kichwa, kifua au kupatwa na mafua! unahisi tayari umeshaipata.

Mbaya zaidi tulitishwa ya kwamba inaua!! Virus vya kipuuzi sana hivi. Uenezaji wake wenyewe tu, umejaa utata.
Yaani nimecheka Sana kwa comment yako..
Thanks
 
Back
Top Bottom