Wassira bado kalala anasubiria matokeo ya tano bora

Wassira bado kalala anasubiria matokeo ya tano bora

SHANTI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
296
Reaction score
365
Kama ujuavyo mzee wa kusinzia al-maarufu tyson , inasemekana bado ameuchapa usingizi mzito na bado hajayasikia matokeo ya top 5.

So huenda akashtuka usingizini baadaye na kuulizia jina lake
AhahaaaA just jokes
 
kawasaidia kuandika ilani ya uchaguzi halafu katoswa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom