SHANTI
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 296
- 365
Mimi ni mjasiliamali mwenye lengo la kuanzisha kampuni itakayofanya kazi ya kutrack magari popote yalipo kwa mfumo wa GPS
Concept yake ya ufanyaji kazi haitofautiani kabisa na Car track , isipokuwa nimeamua kuleta ushindani.
Shida yangu hasa je, ni kampuni gani niwaone ili wanifungie mitambo ya kuendesha biashara hiyo?
Je hapa Tanzania kuna kampuni inayomiliki satelite ambayo nitalipa kiasi fulani na wao wanifungie miundo mbinu? Au mpaka ulaya?
Sio vibaya kama kuna kampuni inatoa huduma hiyo ukanielekeza nikawasiliana nayo.Sio mbaya kama kampuni zenye uwezo wa kutoa huduma hizo ikiwa inapatikana Kenya,Uganda na hata South Africa nidokeze kiduchu tu ili nije nilete upinzani kwa watu wa car track.
Karibuni kwa michango na mawazo.