Search results

  1. JOESKY

    IELTS

    Msaada wanajukwaa hili la elimu. Napenda kujua ni wapi kozi za IELTS *zinafanyikia *Ada *Muda kwa mnaojua kihusu hili naomba ufafanuzi wenu tafadhali nahitaji hili jambo nifanikiwe.
  2. JOESKY

    Vyuo vya ualimu ngazi ya cheti

    Ndugu wanajukwaa samahani, naomba msaada wa kuvijua vyuo vya ualimu ngazi ya cheti vya serikali vinavyopatikana jijini Dar es salaam na location vinapopatikana. Natanguliza asante zangu kwenu.
  3. JOESKY

    Rais Mh. Mama Samia Ukivunja baraza la mawaziri wachunguze kila mmoja

    Asalaam Aleykum ndugu zangu...! Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi. Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama Samia atakapolivunja baraza la mawaziri basi anatakiwa amfuatilie waziri mmoja baada ya mwingine katika...
  4. JOESKY

    Kwanini walioshangilia kujeruhiwa kwa Tundu Lissu hawakukamatwa?

    Katika hizi siku kadhaa za kifo cha magufuli kumeonekana kutokea kwa vitendo kadhaa vya kuonyesha furaha kwa baadhi ya watu na masikitiko kwa baadhi ya watu. Kwa kifupi kumekuwepo na hisia mseto juu ya kifo cha kiongozi Magufuli. Lakini pamoja na hili kujitokeza tujaribu kurudi nyuma kidogo...
  5. JOESKY

    Jakaya Kikwete aliwezaje kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja?

    Wasaalam ndugu wana jamvi!! Nimefikiri kwa marefu na mapana bila kupata majibu ya baadhi ya maswali yahusuyo utawala wa Dr Jakaya Kikwete enzi za utawala wake. Ni miaka kadhaa imepita sasa toka mzee wetu arudi kijijini kwao Msoga kuendelea na maisha yake ya kawaida baada ya kumaliza muda wake...
  6. JOESKY

    Ndugu wahandisi wa majengo na barabara, natafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila mambo yamekuwa magumu sana nisaidieni nipate kibarua. Kwa kifupi hali si nzuri naamini humu kuna...
  7. JOESKY

    Ajira nihurumie nifurahi na mimi pia

    Maisha ni kitendawili kigumu ambacho kwa sisi wanadamu kukitegua tunashindwa kabisa kutokana na ugumu wake. Ama kwa hakika mambo hayajawa mepesi mpaka ugumu ukukumbatie. Ni mwaka mwingine bado namaliza soli ya kiatu kusaka fursa ya ajira au kibarua nipate kuweka mkono kinywani ila still mambo...
  8. JOESKY

    CCM inakotupeleka siko kwenyewe

    Kwa siku za hivi karibuni mara baada ya kuanza bunge kumezuka mambo ambayo kwakweli sisi kama Wananchi na Watanzania hatukuzoea kabisa tangu tupate uhuru wetu 1961. Kuna mambo yanaendelea Bungeni yanatia hasira na kuchochea laana ambayo hatutaki itokee katika hili taifa lililoasisiwa na...
  9. JOESKY

    Makada wa CCM wawe wapole

    Wasaalam ndugu wanajukwaa!! Ni muda mrefu kidogo nimezidi kuumizwa na tabia za makada wa Chama Cha Mapinduzi (si wote ni baadhi). Kumekuwa na tabia ambayo wanazidi kuikumbatia na kuiona ni sawa kabisa katika majadiliano kuitumia kama ngao ya kumdhibiti mtu anaehoji uhalali wa kitu fulani au...
  10. JOESKY

    Msaada wa tiba ya Amiba sugu

    Ndugu zangu natanguliza salam zangu kwenu! Nimekuwa nikipata shida ya amiba mara kwa mara nimetumia dawa kama Tinidazole kwa nyakati tofauti tofauti na namaliza dozi lakini bado tatizo linarudia tena. Naomba mnishauri kulingana na uzoefu wenu wa kitabibu kuhusu huu ugonjwa. Napaswa nitumie...
  11. JOESKY

    Nyimbo nzuri za mahaba

    Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako. Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani...
  12. JOESKY

    Tafsiri na Ukalimani

    Habari za majukumu ndugu wanajukwaa? Napenda tufanye challenge kidogo ili kuboresha uwezo wetu wa kiingereza. Sentensi hizi ukitaka kuzipeleka kwa lugha ya kiingereza Zinakuwaje: 1. KAMA NINGEKUWA MIMI 2. HII DUNIA INAENDA WAPI 3. USIJALI HATA KIDOGO Karibuni tubadilishane na kupeana uwezo...
  13. JOESKY

    Kiingereza ni lugha Universal

    Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
  14. JOESKY

    Mwaka mwingine mawazo mengine

    Habari za majukumu ndugu wanajukwaa? Mimi napenda kufahamu zile decent websites za kuomba kazi nchi za nje kama Norway, Sweeden, Canada, Turkey, Holland, Malta, Nk. pia napenda kufahamu kwa wale tusio na elimu tunaotarajia kazi za unprofessional kama vile fruit picking, viwandani, house...
  15. JOESKY

    Naomba nafasi ya ajira au volunteer (Mwalimu)

    Habari za mwaka mpya ndugu zangu wana JF? Ni imani yangu mko salama salimini. Nisiwachoshe sana!! Lengo langu naomba msaada wa kupata nafasi ya kazi ya ualimu niko Mbeya Mjini ni na shahada ya elimu BAEd. Pia niko tayari hata kuvolunteer ili nipate experience ya kutosha. Najua humu kuna watu...
  16. JOESKY

    Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

    Habari za majukumu wana JF education? Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu. Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk. Naomba msaada wa kutimiza...
  17. JOESKY

    The difference

    Breath and Breathe what is the difference between? I need your help!!
  18. JOESKY

    Msaada wa free educational websites

    Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa zaidi na kuongeza maarifa kichwani ili kuweza kupambana na mazingira ya kuajiajiri. Napenda...
  19. JOESKY

    Wadau Tuinuane

    Hakika mambo yanazidi kuwa tough hii mitani tena kwangu imekuwa kama sumu iuayo taratibu as time goes on nakuwa frustrated sana. Niko Dodoma now mwezi wa tatu sasa baada ya kutoka mbeya kuja kufanya interview hapa na sikufanikiwa kupata kazi niliamua kubaki hapa ili niweze kujaribu kutafuta...
  20. JOESKY

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari zenu wanajukwaa? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Dodoma mjini. Nina shahada ya kwanza ya ualimu ila sijabahatika kuajiriwa. Natafuta mwanamke wa kuishi naye maisha ya ndoa awe ni mcha Mungu na awe na miaka kati ya 24 na 30. Mwanamke mwenye mtoto mmoja anatakiwa awe na kazi...
Back
Top Bottom