Aisee kupata hivyo vya DSM vya mama samia ni issue![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiongozi nimecheka mnooo ila we nisaidie tu nivijue hivyo vyuo
Nenda vikindu mkuu kwa dar hakuna chuo serikali zaidivya kile cha vikindu panda gari za kisemvule au vikundi ukitokea mbagalaNdugu wanajukwaa samahani, naomba msaada wa kuvijua vyuo vya ualimu ngazi ya cheti vya serikali vinavyopatikana jijini Dar es salaam na location vinapopatikana.
Natanguliza asante zangu kwenu.
Kwanza kwa dar hakuna, zaidi ya vikindu kinachosoma wilaya ya mkuranga ila ni jirani na darAisee kupata hivyo vya DSM vya mama samia ni issue!
Elimu haiko Dar alone mwanawane!