JOESKY
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 823
- 2,045
Hakika mambo yanazidi kuwa tough hii mitani tena kwangu imekuwa kama sumu iuayo taratibu as time goes on nakuwa frustrated sana.
Niko Dodoma now mwezi wa tatu sasa baada ya kutoka mbeya kuja kufanya interview hapa na sikufanikiwa kupata kazi niliamua kubaki hapa ili niweze kujaribu kutafuta kibarua hapa ila nkmekosa.
Wadau nipeni connection nisaidieni tafadhali.