Search results

  1. GwaB

    Tanzania haimo kwenye nchi kumi zenye miundombinu bora Afrika!

    Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara. Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano. Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu...
  2. GwaB

    Rep Jim Jordan on Twitter

    Covid-19 inaendelea kusahaulika wakati uchunguzi ukibaini hila kwenye mlipuko ulioikumba Dunia.
  3. GwaB

    This is America not Africa

    Biden is busy funding American proxy war with Russia while his citizens lives on dropouts and sleeping rough. I wonder if organizations for human right are seeing this level of poverty or It's only relevant when its happening in Africa to be considered as an issue? :oops:
  4. GwaB

    Airbus A220-300 5H-TCH imepaki Maatricht kwa heri?

    Ndege moja ya Air Tanzania "Dodoma" Hapa kazi tu, iliyowahi kuzuiliwa Afrika kusini inaonyesha kuwa imepark kwenye uwanja wa ndege wa Maastricht. Huu ni utaratibu wa kawaida au tunadaiwa tena?
  5. GwaB

    Kwamba zoezi la kuitafuta ndege iliyopotea pori la akiba Selous limesitishwa

    Nimesoma mahali kuwa lile zoezi la kuitafuta ndege ndogo iliyopotea ikiwa na rubani mmoja limesitishwa baada ya wiki kadhaa za kuitafuta. Njia zilizo tumika kuitafuta na kushindwa kubaini hata mabaki ya ndege hiyo kama haikuvuka mpaka wa JMT pia hazijawekwa wazi. Inashangaza kuona wakati huu...
  6. GwaB

    Huu ni mgao wa umeme au mabwawa yamekauka?

    Dar es salaam hakuna umeme maeneo ya Chanika tangu jana na leo siku nzima hakukuwepo umeme hadi hivi niandikapo. Je, ni halali Tanesco kupokea pesa kutoka kwa wateja wake halafu wagome kutoa huduma? Je, kama Kuna matatizo ya kiufundi hivi si busara kuwataarifu wateja wanaotegemea umeme wa...
  7. GwaB

    Kulikoni Vodacom Mpesa Mastercard?

    Katika hali ya kushangaza leo niliomba kuangalia mini statement kwenye akaunti zangu za Vodacom. Nimebaini kuwa pesa zangu zilizokuwa kwenye akaunti ya Mastercard zimerudishwa Mpesa. Hivi sasa huduma ya Mpesa Mastercard imeondolewa kabisa kwenye menu. Inawezekana Vodacom walitangaza...
  8. GwaB

    Another brand new AirTanzania A220-300 taking to the sky.

    Stunning view of brand new Air Tanzania with lively colors christened Tanzanite Hapa Kazi Tuu with registration code C-FOWF has been spotted at YMX on its maiden flight test and series of others thereafter. What a beautiful bird!...
  9. GwaB

    Gari aina ya Passo Vits na Ist, Moja kati ya hizo inatafutwa

    Habari wadau wa jukwaa hili adhimu!. Gari lenye ujazo mdogo aina ya Ist, Passo na Vits zinatafutwa. Moja kati ya aina hizo tatu linatakiwa liwe katika hali nzuri na usajili uwe T... D... Bajeti million tano. Karibuni. 0715354646
  10. GwaB

    NMB Bank huduma mtandaoni inahitaji muwe na Watalaamu wa IT

    Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada ya kuingia gharama kubwa za ujenzi au mmelipana kimya kimya pia? Siku hizi mmekuja na upepo wa kila...
  11. GwaB

    Safari yangu ya kwanza na Air Tanzania

    Amani iwe kwenu wadau wa JF. Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja na kwamba naenda kwenye msiba, nimepata nafasi ya kujaribu ufanisi wa Shirika letu na kuliunga mkono...
  12. GwaB

    Mali inakuwa ya umma pale umma unapomiliki hisa

    Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukihamasishwa kulinda mali zinazoitwa za umma na kutahadhalishwa kuwa atakaechezea mali ya umma atawajibishwa. Imekuwa hivyo kwa miongo kadhaa na imezoeleka hivyo pamoja na kwamba ni ulaghai tu. Kwenye mjadala huu pamoja na upana wake ningependa kuwaalika wadau...
  13. GwaB

    Msalato International Airport kwenye mpango

    Nimekutana na huu muundo wa uwanja wa ndege wa kimataifa unaotarajiwa kujengwa Dodoma na kushawishika kuunga mkono pale ambapo huo muundo utatumika. Tujikumbushe, huko nyuma wakati T3 ya Dar es salaam ikiwa kwenye mipango, tuliwahi kuona miundo kadhaa ya kuvutia ambayo haikuwahi kutumika wala...
  14. GwaB

    Unapokaribishwa mahali usijifanye mwenyeji sana kuliko waliokukaribisha

    Baada ya mwanadiplomasia mmoja wa kimarekani kuaga wiki iliyopita tumepata heshima nyingine ya kuagwa na mwanadiplomasia kutoka uingeleza, akitoa mkono wa buriani kwa unyenyekevu mkubwa tena kwa mtindo unaofanana na ule uliotumiwa na aliyemtangulia. Umahiri uliotumika katika kuaga, kiungwana...
  15. GwaB

    Nchi za kijamaa zinajipambanua kwa urasimu

    Mazoezi yanayoendelea hivi sasa huko kwenye ofisi za NIDA, RITA na UHAMIAJI yamejaa urasimu ambao unamlazimisha mtu kujiandaa kabla ya kwenda kuanza mchakato wa kuomba kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa au pasi ya kusafiria. Wengi wetu huamua kutopoteza muda wao kutafuta nyaraka mbali...
  16. GwaB

    Second ATCL Boeing 787-8 Dreamliner named after Rubondo Island.

    Rubondo Island .. "Hapa kazi tu" is another way of differentiating the first B 787-8 Kilimanjaro which is in service to the later that is about to make its first maiden voyage to its hub... The heven of peace!.
  17. GwaB

    Safari moja huanzisha nyingine....!

    Hayawi hayawi huwa ... kitu kingine cha anga hicho👇👇👇👇💪💪💪✈🛫🛬
Back
Top Bottom