mastercard

Mastercard Incorporated (stylized as MasterCard from 1979 to 2016 and mastercard since 2016) is an American multinational financial services corporation headquartered in the Mastercard International Global Headquarters in Purchase, New York, United States. The Global Operations Headquarters is located in O'Fallon, Missouri, United States, a municipality of St. Charles County, Missouri. Throughout the world, its principal business is to process payments between the banks of merchants and the card-issuing banks or credit unions of the purchasers who use the "Mastercard" brand debit, credit and prepaid cards to make purchases. Mastercard Worldwide has been a publicly traded company since 2006. Prior to its initial public offering, Mastercard Worldwide was a cooperative owned by the more than 25,000 financial institutions that issue its branded cards.
Mastercard, originally known as "Interbank" from 1966 to 1969 and "Master Charge" from 1969 to 1979, was created by an alliance of several regional bankcard associations in response to the BankAmericard issued by Bank of America, which later became the Visa credit card issued by Visa Inc.

View More On Wikipedia.org
  1. Johnyy

    Vykingship imeblokiwa Airtel Mastercard?

    Habari wakuu, Nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id: MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
  2. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na...
  3. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online. 1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo kudhibiti kiwango cha juu ya muamala pale ambapo akaunti yako inakiasi cha kutosha kufanya muamala...
  4. Influenza

    Visa, Mastercard zazuia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia mifumo yao

    Kampuni za malipo ya kifedha za Marekani, Visa na Mastercard zimezifungia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia huduma zake ikiwa ni sehemu ya vikwazo kwa Urusi Aidha, Kampuni hizo zimeahidi kutoa Dola za Kimarekani Milioni 2 kila moja kwa ajili ya kusaidia katika masuala mbalimbali ya...
  5. Nafaka

    Skrill waondoa limitations kwa mastercard

    Hatimaye skrill wameondoa limitations kwenye pesa iliyotoka kwenye mastercard. Kwa sasa utaweza fanya lolote iwe kubet, kununua cryptocurrency kutuma kwa rafik bila shida naye ataweza ifanyia lolote. Nilikuwa napata shida unakuta unakuta wataka nunua bitcoin local bitcoin ulipe kwa skrill from...
  6. Nafaka

    Hamisha pesa directly toka payoneer mastercard kuja airtel money haraka

    Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida. Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja airtel, hivyo unaweza tumia njia hiyo hamisha pesa toka payoneer account kuja airtel...
  7. GwaB

    Kulikoni Vodacom Mpesa Mastercard?

    Katika hali ya kushangaza leo niliomba kuangalia mini statement kwenye akaunti zangu za Vodacom. Nimebaini kuwa pesa zangu zilizokuwa kwenye akaunti ya Mastercard zimerudishwa Mpesa. Hivi sasa huduma ya Mpesa Mastercard imeondolewa kabisa kwenye menu. Inawezekana Vodacom walitangaza...
  8. donlucchese

    Vodacom wako vizuri kwenye MasterCard yao

    Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa...
  9. Nafaka

    Makato makubwa ya Airtel Master Card

    Leo kwa mara ya kwanza nimetumia Airtel Master card baada ya kuwa ninatumia M-Pesa Master Card kwa muda. Nilichogundua Airtel wana makato makubwa yaani more than twice ya M-Pesa. Nilikuwa nalipia kitu Google Play kina thamani ya 9000 ambapo nikitumiaga M-Pesa naweka 11000 na change inabaki ila...
  10. Naanto Mushi

    Kwa wanaojua, hivi naweza kutumia Vodacom Mastercard kupokea pesa nje

    Kuna platform ya betting najaribugi bahati humo kama mjuavyo hakuna pesa chafu na maisha kupambana. Sasa kuna issue ya kwenye ku withdrawal, nimeona wao wana options za kutumia debit card au credit card, sasa mimi pia nnayo Vodacom mastercad, endapo nikijaribu kutoa mpunga kwa kuweka ile namba...
  11. J

    Benki nzuri kwa masuala ya Mastercard payments and refunds

    Napenda nianze kufanya manunuzi mitandaoni lakini NMB wamenikwamisha. Mimi ni mteja wa NMB lakini kadi zao za mastercard, hazina hiyo functionality naweza kusema. Nishajaza form yao wiki iliyopita ya kuniwezesha kununua mtandaoni (achana na form ya kulata Mastercard) lakini nikienda kujaribu...
  12. lwifunyomangula

    Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Back
Top Bottom