Safari moja huanzisha nyingine....!

Je ni busara kwa ATCL kuwa na ndege zake yenyewe badala ya kukodi?

  • Ndio

    Votes: 1 33.3%
  • Hapana

    Votes: 1 33.3%
  • Sijui

    Votes: 1 33.3%

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

GwaB

JF-Expert Member
Mar 19, 2014
3,565
4,613
Hayawi hayawi huwa ... kitu kingine cha anga hichoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺβœˆπŸ›«πŸ›¬
Screenshot_2019-09-26 Home Twitter.png
 
Huyo mwenye tenda ya kumchora Twiga tumemkosea nini hasa???
 
Hayawi hayawi huwa ... kitu kingine cha anga hichoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺβœˆπŸ›«πŸ›¬
View attachment 1216706
Safi sana, sasa nauli mzishushe na muongeze destination nyingi za ndani ili Watanzania tufaidi kodi zetu.
Kinyume cha hapo hizo ndege zitakuwa useless kwa Watanzania wengi, na hazitakuwa baraka ila laana
 
Back
Top Bottom