Search results

  1. JAMBONIA LTD

    Huduma ya online copy haipo katika website ya nida

    Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
  2. JAMBONIA LTD

    Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza. Kijana...
  3. JAMBONIA LTD

    Calculations za VAT kupitia EFD machine

    Habari wakuu! Naomba kuelimishwa kidogo, nataka kufanya biashara na Supermarket moja hapa jijini Dar, wameahidi kuchukua mzigo mkubwa iwapo ntakuwa namiliki risiti za EFD kwaajili ya VAT. Kwa lengo wakati nawauzia basi niwatolee hiyo electronic receipt. Sasa naomba ushauri je kumiliki hicho...
  4. JAMBONIA LTD

    Kwa anayejua range ya mshahara wa matechnician wa Universities

    Habari wa kuu nilikua naulizia kwa mwenye kujua wale matechnician wanaosaidia wanafunzi during practicals huwa range za mishahara yao ipoje kuanzia kwenye bachelor, master na hata PhD. Karibuni wadau
  5. JAMBONIA LTD

    Mwenye uzoefu na Online loss report--polisi

    Habari wakuu, nimejaza online loss report kwa ajili ya laini ya simu nimefanya malipo baada ya kutumiwa control number kila nikiingia sehemu ya kuangalia taarifa yako ili nipate kupakua ile loss report naambiwa taarifa yako haijathibitishwa. Kwa utaratibu wa sasa wameeleza kuwa kwa loss report...
  6. JAMBONIA LTD

    Je huyu anaingia katika vigezo vya kuwa lecturer?

    Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu? Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters uwe na at least GPA ya 4. Sasa huyu alipata GPA 3.2 first degree , kisha akafanya Masters akapata...
  7. JAMBONIA LTD

    Hivi kuna faida yeyote ya kusoma mpaka PhD ikiwa una 'gentleman' GPA?

    Habari wa kuu, kama swali lilivo ningependa kujua kama mtu ana GPA za lower divisions , kisha anakazana kusoma Masters mpaka PhD, kuna opportunities gani atapata maana tumezoea hayo kwa academicians...
  8. JAMBONIA LTD

    Hivi ukiishia Certificate ya Clinical Medicine unakua na majukumu gani kazini?

    Habari wakuu, nauliza ukisoma ile technician certificate NT Level 4 ya miaka 2, majukumu yako kazini yanakua ni yapi ukilinganisha na mwenye diploma?
  9. JAMBONIA LTD

    Hivi ukitaka kusoma Open University Tanzania (OUT) lazima kupata ruhusa ya Muajiri?

    Habari wakuu, Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa ya mwajiri ya kujiendeleza kimasomo? Au unaweza kupiga kimya kimya tu haiana haja kama ya wale...
  10. JAMBONIA LTD

    Je, anaweza kukidhi vigezo vya kuwa lecturer?

    Habari wataalam, kuna ndugu hapa ameomba kupata information kutoka kwa wadau..ni hivi jamaa aliharibu matokeo ya bachelor hayakua mazuri (GPA) lower second. Kwani hakua serious na shule wakati huo. Ila amejiongeza amekwenda kufanya Master ametoka na GPA ya first class 4.5. Sasa amepata mzuka wa...
  11. JAMBONIA LTD

    Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

    Habari wataalam, Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa mwanasheria ili iwe legal doccument. Sasa nnachotaka kujua hii hati yangu nikiipeleka kwa mwanasheria...
  12. JAMBONIA LTD

    Je ni sahihi kulipia kodi TRA kwa kushinda zawadi?

    Habari wakuu, kwa wenye uzoefu wa kushiriki mashindano mbali mbali ambayo wanatoa zawadi za vitu kama vile friji,tv,pikipiki,gari n.k Ningepeda kujua je kuna ukweli wowote kwamba kabla ya kupokea zawadi hizo huwa unalipia kodi TRA kwanza ndio ukabidhiwe zawadi yako?
  13. JAMBONIA LTD

    Naomba kujua Chuo kinachotoa Clinical medicine-Evening program

    Habari wakuu! Nimeona baadhi ya vyuo wakitoa evening program kwa Diploma za Nurse course, hivi kuna chuo kinachotoa Clinical Medicine kwa Evening program pia?
  14. JAMBONIA LTD

    Kwenye akaunti inaonesha selected ila ktk lists hayupo ..msaada

    Habari waungwana msaada wenu dogo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa hayupo ila akifungua akaunti yake anapewa congratulations kwa kuchaguliwa vipi hapo afanyeje
  15. JAMBONIA LTD

    Mwenye kuifahamu Msc.Traditional medicine pale MUHAS

    Habari wakuu naomba msaada wa ufafanuzi anayeijua hii kozi. ukisoma soko linakua sekta gani ? unakuwa mtengenezaji dawa au tabibu? kuna market ya hii kozi? na mengineyo ambayo cjaulza napenda kujua
  16. JAMBONIA LTD

    msaada hatua ya mwisho kuapply mikopo

    habari wakuu, naomba msaada katika hatua yaa mwisho ya kukamilisha ujazaji a fomu za online za bodi ya mikopo katika kusubmit wamandika "PRINT AND SSUBMIT YOUR APPICATION FORM AND ATTAACHME'' ukiclick zinkuja documents katika pdf kwa jili ya kuprint sasa je hpo ndioo unakua ushasubmit tayarii...
  17. JAMBONIA LTD

    Naomba orodha ya vyuo vinavyotoa degree

    Habari wapendwa naomba msaada wa lists ya vyuo vinavyotoa degree ya pharmacy Tanzania ukiacha.
  18. JAMBONIA LTD

    EXAMINATION AUTHORITY KWA VYETI VYA SHAHADA (DEGREE) NI IPI?

    MFANO veti vya o level na A level Examination authority yake ni NECTA na Diploma ni NACTE je degree ni ipi?
  19. JAMBONIA LTD

    Ni nini maana ya scanned copies katika online appication?

    hivi hapo una scan original certificates ndio una attach au unatoa copy halaf unascan zile copies? limenichanganya hilo neno scanned copies ...shukran
  20. JAMBONIA LTD

    Kwa D NNE hizi a some nini

    Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
Back
Top Bottom