Dhana ya kuheshimu faragha za watu ni ngumu kuielewa kwa wengi wetu. Mtu anaweza ‘kuposti’ jambo WhatsApp na likawa kwa wote anaowajua yeye ukiwemo wewe lakini si kwa wote unaowajua wewe. Kwamba umeona ‘ameposti’ WhatsApp haimaanishi amekuruhusu kuwaonesha na wengine bila ruhusa yake.
Mtu...
Hii nchi aisee tuna kitu tutafika mbali….. mnajiandikiaje per dm , kujilipia nauli kwenda na kurudi ya kwenda kumfariji mfiwa ? Ndio ni rais lakini kafiwa na mume , mume hakua ameoa taifa wajameni !! Msitumie kodi zetu vibaya hivo
Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani.
Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema, kinachokosekana ni viongozi wake na njia ya kuwapata ni kupitia majukwaa ya mikutano, hali ya kisiasa kwa...
• Kuna tetesi walioshindwa kupanda vyeo kwa sababu ya mfumo kwenda kwa katibu mkuu TAMISEMI, ushauri wangu kabla hujanyenyua mguu wako omba rusuhusa kwanza kwa mkurungenzi wako maana kama hutafanya hivyo litakalo kukuta utajuta.
• Hili jambo vyama vya wafanyakazi vipo tunajua na wao...
Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
Kuna majaribio ambayo naona wengi watakufa na kweli mtakufa .Hii serikali inawezekana kuna pesa zina kwenda META.
Leo data analysis inaonyesha META kabla ya kufanya kuijadili CCM inapita CCM ku verify na kama ukiripoti fanyeni majaribio mnapata kizingiti cha CCM ni kama CCM ni mamraka ya TCRA...
Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP)
Dar es Salaam,
Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais.
Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Tuliobaki ambao ni...
Kilichokua kinajadiliwa ilikua Iran ipunguze nyuklia au madini ya uranium, na kubaki na ya matumizi ya nishati tu, ila sasa inashurutishwa iache kabisa mawazo ya nyuklia, na mpaka sasa anga ya Irani imetekwa na Israel, ndege zinapiga zitakavyo......
US President Donald Trump said on Tuesday...
Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ?
Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
Katika shughuli yangu ya ufundi umeme napenda kushiriki nanyi mambo machache kuhusu vifaa vya kieletroniki
Hurusiwi kabisa kuchoma moto vifaa kama simu, tv, ving'amuzi, luku mbovu (meter & Sub meter) au kifaa chochote cha kietroniki kama takataka hata kama kitakuwa kimebenjuka na kubaki vipande...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi.
Amesema lengo la uhuru ni...
Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
Kwema Wakuu!
Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya.
Moja ya Mabaya yaliyotokea kipindi cha Magufuli ni pamoja na utekaji, kujeruhiwa na mauaji. Huku matukio hayo mengi yakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.