Huduma ya online copy haipo katika website ya nida

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
 
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
 
Hapa sasa pananifaa!!
JamiiForums-1905984372.jpg
 
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Hio outlet ya,system ya nida iliyokuwa inatumika kutoa online copy haipo kwa sasa (Hadharani) meaning public ilikuwepo kipindi kile Mchakato wa kujiandisha unaanza bcoz NIDA ilikuwa haijawekwa business oriented mno Kwa waliofanikiwa kupata online copy wao walibahatika.
Kwasasa hizo online copy nimeziona sana kwenye mabenk ukitaka kufungua account au kuhuisha account na Nida number.
Nadhani umenielewa.
 
Zipo kwa Stakeholder ie Bank kama alivyosema Mku hapo juu ila tatizo ile fomu ni ya kwa matumizi ya office ila ukiweza kusaidiwa na mtu yeyote aliye mle anaweza akakupatia

Ila fahamu sio haki yako ni msaada tu, either akupe au asikupe you have no right... unaenda kuomba na ni vyema uende bank ambayo unatumia huduma zao
 
Back
Top Bottom