Je huyu anaingia katika vigezo vya kuwa lecturer?

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu?
Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters uwe na at least GPA ya 4.

Sasa huyu alipata GPA 3.2 first degree , kisha akafanya Masters akapata GPA 4.4 ...akafanya bachelor degree nyengine baada ya masters akapata GPA ya 3.9 kisha akafanya PhD. Je anakua tayari amekidhi vigezo vya TCU na anaweza kuajiriwa kama lecturer?
Ahsante
 
SUMMARY
1. Bachelor's degree 3.2
2. Master's degree 4.4
3. Bachelor's degree 3.9
4. PhD
 
1. Bachelor's degree 3.9
2. Master's degree 4.4
3. PhD

Kwanini asitumie izo tatu ili awe amefit kuwa lecturer
 
'Are they acquired in the same professional/Area...,huyo anaoneka kuchanganya professionals...,kama ni the same profession/area...,anaificha hiyo ya 3.2 then anaombea zilizobaki
1. Bachelor's degree 3.9
2. Master's degree 4.4
3. PhD

Kwanini asitumie izo tatu ili awe amefit kuwa lecturer
 
Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu?
Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters uwe na at least GPA ya 4.

Sasa huyu alipata GPA 3.2 first degree , kisha akafanya Masters akapata GPA 4.4 ...akafanya bachelor degree nyengine baada ya masters akapata GPA ya 3.9 kisha akafanya PhD. Je anakua tayari amekidhi vigezo vya TCU na anaweza kuajiriwa kama lecturer?
Ahsante
Je hiyo bachelor nyingine inahusiana na hiyo Masters? Kama ni katika same profession hamna taabu.
 
'Are they acquired in the same professional/Area...,huyo anaoneka kuchanganya professionals...,kama ni the same profession/area...,anaificha hiyo ya 3.2 then anaombea zilizobaki
Ishu ni kwamba hiyo Bachelor ya 3.9 ameipata baada ya Masters kwa hiyo lazima iuliziwe
 
Thats means amei-master 3.2 (Master imekaa juu ya 3.2), huo ni mtihani...,Kwa institutions zinazojielewa/Gov ...,ni ngumu.
Ishu ni kwamba hiyo Bachelor ya 3.9 ameipata baada ya Masters kwa hiyo lazima iuliziwe
 
Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu?
Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters uwe na at least GPA ya 4.

Sasa huyu alipata GPA 3.2 first degree , kisha akafanya Masters akapata GPA 4.4 ...akafanya bachelor degree nyengine baada ya masters akapata GPA ya 3.9 kisha akafanya PhD. Je anakua tayari amekidhi vigezo vya TCU na anaweza kuajiriwa kama lecturer?
Ahsante

JANGA LINAKUJA HAPO KWENYE KIPENGELE CHA
G.P.A YA BACHELOR YA 3.9,
IMEPATIKANA BAADA YA KUPATA MASTER,
MASTER AMBAYO NI SUCCESSOR YA BACHELOR YENYE G.P.A ISIYOKIDHI VIGEZO HUSIKA, YA 3.2.

SIJUI UMENIELEWA VIZURI HAPO MKUU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom