JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
hivi hapo una scan original certificates ndio una attach au unatoa copy halaf unascan zile copies? limenichanganya hilo neno scanned copies ...shukran
ok shukran maan wnasema submit au attach scanned copies of certificatesUnascan original certificate.... Copy ni terminology nyingine
Mkuu ukiscan document inakuwa kwenye black and White.....
Scan original certificates. Alafu tumaaaaaaahivi hapo una scan original certificates ndio una attach au unatoa copy halaf unascan zile copies? limenichanganya hilo neno scanned copies ...shukran
Mkuu ukiscan document inakuwa kwenye black and White.....