lecturer

Lecturer is an academic rank within many universities, though the meaning of the term varies somewhat from country to country. It generally denotes an academic expert who is hired to teach on a full- or part-time basis. They may also conduct research.

View More On Wikipedia.org
  1. Archival Sense

    UCU Lecturer Calls for Shift from ABC to Combination HIV Prevention Strategy

    Uganda Christian University senior lecturer Dr Boniface Mutatina has called for a review of Uganda’s ABC (Abstinence, Being faithful and Condom use) HIV prevention strategy, saying the country needs a more flexible approach to address changing trends in the epidemic. Speaking at a national...
  2. OMOYOGWANE

    Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  3. U

    KERO Lecturer wa NIT ametutapeli Pesa za leseni wanafunzi zaidi ya 100 wa mwaka huu 2026

    Uongozi wa chuo cha NIT , na TRA na Jeshi la Polisi , tunaomba mtusaidie kupata haki yetu . Lecturer wa NIT ambaye anaitwa Manala T Mbumba, ametutapeli pesa za leseni zaidi ya Wanafunzi miamoja tuliokuwa tunahitimu mwaka huu na ambao tunaingia mwaka wa tatu. Alikuja chuoni kupitia kwa CR wa...
  4. U

    KERO Wanafunzi wa NIT tuliomaliza, tulitoa hela ya mafunzo ya udereva na leseni ila hakuna huduma tuliyopata

    Sisi ni wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ambao baadhi yetu tumehitimu mwaka 2026 na wengine tunaingia mwaka wa tatu. Tunatoa malalamiko kuhusu fedha tulizolipa kwa ajili ya mafunzo ya udereva na upatikanaji wa leseni, ambazo hadi sasa hatujapata huduma tulizolipia. Wakati...
  5. mnyama kombaaa

    🎓🔥 NAFASI ZA AJIRA: LECTURER & ASSISTANT LECTURER – MOROGORO

    Una taaluma ya kufundisha katika elimu ya juu? Kuna nafasi mpya za Lecturer na Assistant Lecturer zilizotangazwa Morogoro. Hii ni fursa nzuri kwa wataalamu wanaotaka kuendeleza taaluma yao katika ufundishaji, research, publications na consultancy. 👨‍🏫 LECTURER Majukumu makuu ni pamoja na: ✅...
  6. Isenye

    Kuna mwenye uzoefu wa kutoka kimapenzi na mwanamke lecturer humu?

    Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi. Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
  7. K

    Pendekezo: Mh. Lissu akishatoka alikozuwiwa Kwa nguvu baada ya kuyakaanga machawa inafaa akiwa rais pia awe Lecturer- Law Chuo Kikuu Cha Serikali

    Wadau napendekeza Mh. Lissu akitoka kwenye forced incarceration na kuwa Rais napendekeza awe anapiga pindi la Sheria hasa kwenye masomo yafuatayo; 1. Law of Evidence 2. Administrative Law 3. Law of Torts 4. Environmental Law 5.Criminal Law 6. Criminal Procedure Law. Au mnasemaje wadau maana...
  8. ngara23

    Lecturer wa UDOM ni gaidi ila Shehe Mwaipopo anayemiliki kundi la kukata vichwa sio gaidi

    DPP kuwa serious japo kidogo Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
  9. A

    DOKEZO Kuna baadhi ya Lecturers katika Chuo cha UCC wanataka rushwa kuwapa wanafunzi madaraja mazuri

    Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade...
  10. A

    KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  11. L

    A lecturer at UDOM was arrested on allegations of inciting demonstrations.

    Dear members On 9 Dec, a fellow staff member was arrested, his home searched and interrogated at a police station before he was released on bail. He was accused of allegedly making remarks in his 8 Dec lecture (10:30-13:30) that incited students to participate in 9 Dec demonstrations...
  12. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri. Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa. Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
  13. Jamii Opportunities

    SMMUCo: 26 Lecturer & Assistant Lecturer Roles – October 2025

    Stefano Moshi Memorial University College Job Opportunities Introduction Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo) is a Constituent College of Tumaini University Makumira (TUMA). The University College is headquartered at Masoka Village, 14 km north of Moshi Municipality in Kilimanjaro...
  14. R

    Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

    Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks. Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu...
  15. G

    Maksi za Chupi zamponza Mhadhiri / Lecturer, Jela miaka 20 kwa kosa la kuomba Ngono ili kumfaulisha mwanafunzi wake

    Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima" wengine wamewahi kufumaniwa baada ya wanafunzi kupeleka ushahidi wa kunyanyaswa lakini wanaishia kuhamishwa vituo vya kazi, kuonywa au...
  16. Jamii Opportunities

    Assistant Lecturer (MARINE ENGINEERING) – 2 POST at Dar es Salaam Maritime Institute (DMI)

    Job type: Full-time POST ASSISTANT LECTURER (MARINE ENGINEERING) – 2 POST EMPLOYER Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) APPLICATION TIMELINE: 2024-09-03 2024-09-16 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 8 (Bachelor Degree); ii. To assist senior staff in...
  17. Jamii Opportunities

    Lecturer (MARINE ENGINEERING) at Dar es Salaam Maritime Institute (DMI)

    Job type: Full-time POST LECTURER (MARINE ENGINEERING) – 1 POST EMPLOYER Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) APPLICATION TIMELINE: 2024-09-03 2024-09-16 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES I. To teach up to NTA level 9; ii. To guide and supervise students in building up their practical...
  18. G

    Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  19. Jamii Opportunities

    Assistant Lecturer (Education in Psychology) – 3 Post at MNMA

    POST ASSISTANT LECTURER (EDUCATION IN PSYCHOLOGY) – 3 POST EMPLOYER Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 8 (Bachelor’s Degree); ii. To prepare learning resources for...
  20. Jamii Opportunities

    Assistant Lecturer (Sociology) at MNMA

    POST ASSISTANT LECTURER (SOCIOLOGY) (1 POST) – 1 POST EMPLOYER Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 8 (Bachelor’s Degree); ii. To prepare learning resources for tutorial...
Back
Top Bottom