Naomba orodha ya vyuo vinavyotoa degree

Naomba orodha ya vyuo vinavyotoa degree

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Habari wapendwa naomba msaada wa lists ya vyuo vinavyotoa degree ya pharmacy Tanzania ukiacha.
 
Mwaka huu vyuo vitakavyodahili wanafunzi katika kozi ya bachelor of pharmacy ni
MUHAS - Muhimbili
CUHAS- Bugando
SJUT- St John's university

Vyuo vyote capacity yake ni around wanafunzi 300

Kampala university imefungiwa kutoa kozi za afya kwahiyo haitachukua kabisa wanafunzi mwaka huu
 
Back
Top Bottom