Je ni sahihi kulipia kodi TRA kwa kushinda zawadi?

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
Habari wakuu, kwa wenye uzoefu wa kushiriki mashindano mbali mbali ambayo wanatoa zawadi za vitu kama vile friji,tv,pikipiki,gari n.k

Ningepeda kujua je kuna ukweli wowote kwamba kabla ya kupokea zawadi hizo huwa unalipia kodi TRA kwanza ndio ukabidhiwe zawadi yako?
 
Angalia usiingizwe fosi kingi kisha uliwe.... si ajabu umeambiwa umeshinda zawadi fulani lakini kabla ya kupewa inatakiwa ultume fedha za kulipia TRA.... Kimbia ....
 
Watu wanaoweka mikeka kodi sijui walimshirikisha nani wakati wanaipitisha,mtu unaliwa mwezi hata miezi wanaochukua kodi hawajitokezi kukupa mtaji ,inatokea siku umeshinda basi asilimia inayokatwa haizingatii wewe ni mganga njaa kama machinga ila tu hauna kitambulisho
Nafikiri kuna haja ya tra kuwatwafuta wazee was mikeka na kujadili nao hasa kuhusu makato mtu akishinda
 
Angalia usiingizwe fosi kingi kisha uliwe.... si ajabu umeambiwa umeshinda zawadi fulani lakini kabla ya kupewa inatakiwa ultume fedha za kulipia TRA.... Kimbia ....
Yes Utume 25,000 kwa meneja masoko katika simu ili alipie kodi TRA halafu utapewa namba ya risiti ya tra ambayo utaenda kuonesha ofisini kwao ili wakupatie zawadi yako
 
Hii unapigwa mzee, kawaida kama umeshinda laki na kodi ni 25000 wanakata juu kwa juu unapewa 75000 wewe hutakiwi kutuma chochote
 
Yes Utume 25,000 kwa meneja masoko katika simu ili alipie kodi TRA halafu utapewa namba ya risiti ya tra ambayo utaenda kuonesha ofisini kwao ili wakupatie zawadi yako
Mbona hakuna jipya hapa, maana ndio mfumo wa kodi wa Tz ulivyo. Unaanza biashara, hujatengeneza hata thumni, hiyo kodi unayotakiwa kulipa tra na mtaji wa biashara unakata hapo hapo.
 
Mwenzio anatapeliwa wewe unampa moyo, huyo kaambiwa ameshinda bahati nasibu kwahiyo atume hela ya kodi
 
dah halafu anatumia account ya mtu maarufu..sijui kaidukua au katengeneza fek
 
kama kuna mtu ni mfuatiliaji mzuri wa millard ayo news naomba nimtumie inbox link aikague kisha anipe comment zake
 
Back
Top Bottom