Mwenye kuifahamu Msc.Traditional medicine pale MUHAS

Mwenye kuifahamu Msc.Traditional medicine pale MUHAS

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Habari wakuu naomba msaada wa ufafanuzi anayeijua hii kozi.
ukisoma soko linakua sekta gani ? unakuwa mtengenezaji dawa au tabibu? kuna market ya hii kozi?
na mengineyo ambayo cjaulza napenda kujua
 
Angalia kwenye prospectus mzee utaona kila module. Halafu mpaka Masters hauelewi nini unaenda kusoma.
 
kuuliza wakati mwengine haina maana kama una mpango wa kusoma wakati mwengine ni udadisi na kujiongezea maarifa tu.
Nahtaji mtu anayejua uhalisia wa hyo kozi kwa walio soma mbali na maelezo ya modules... yaliyoandikwa kwenye makaratasi na uhalisia hua haufanani
 
Unakuwa mtaalam wa tiba asilia kama kina Dr. Mwaka, Ndodi nk
 
Back
Top Bottom