Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri aliyepokea msaada wa chakula hicho naona ajiuzuru Tanzania hatuna shida ya chakula hasa mchele na alizeti ambavyo vimetoka Marekani. NI aibu sana kwa taifa kuomba msaada wa chakula huku...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA Na Yericko Nyerere Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi...
28 Reactions
196 Replies
16K Views
[emoji841]Magufuli kwa miaka 5 aliyokaa madarakani alikopa trillion 37 akajengea SGR, bwawa la Nyerere, akanunua ndege, Kijazi interchange ubungo na 6 way mpaka Mbezi mwisho. Magufuli hata kama...
21 Reactions
100 Replies
5K Views
At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni...
0 Reactions
2 Replies
585 Views
Kumekuwa na matamko tata kutokea LATRA kuhusu magari yenye namba D na E kufanywa ndiyo yaliyo magari pekee. Hali hii si ya kuvumiliwa hata kidogo. Kesho itakuwa gari kuingia Dar na labda hata...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Waziri Bashe ameongea kuhusu msaada wa mchele na mafuta kama vile yeye siyo waziri mwenye dhamana. Anaonyesha kushtushwa na mchele huo na mafuta kuingizwa nchni. Je, kama sovereign state...
4 Reactions
9 Replies
910 Views
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo...
5 Reactions
81 Replies
3K Views
Mzindakaya alikaa bungeni miaka 40 William Lukuvi Miaka 29 Musa Zungu Miaka 25 Juma Kapuya Miaka 20+ Jumanne Maghembe alikaa 20+ Anne Makinda aliingia bungeni 1974 Weka list ya Kiongoz ambaye...
1 Reactions
7 Replies
539 Views
Ukweli usemwe kwamba pamoja na ardhi kubwa na uzalishaji mkubwa wa chakula tunaoringia nchini kwetu Watanzania wengi bado wanakula milo duni sana, wengi hawapati milo bora (balanced diet) na...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imefanikiwa sana kuongeza ukaribu na wananchi kwa kusikiliza changamoto na kuzitatua kwa haraka...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Wadau hamjamboni nyote Taarifa hapo chini JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Imam wa msikiti wa Nyankumbu mjini Geita, ambaye pia ni mwalimu wa madrassa, Abdulrahman Yassin akituhumiwa...
14 Reactions
77 Replies
6K Views
Mbunge Msukuma hapa anaongea sana kukatiza katiza wataalamu wakati kichwani hamna kitu .Wataalamu wakitaka kumwekewrsha anakatiza katiza wakati kichwani hamna kitu anachoongea Wataalamu poleni
9 Reactions
59 Replies
4K Views
Rais mstaafu wa Tanzania mzee Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Kiongozi Bora wa Africa kwa mwaka 2023 kama Kiongozi Bora wa Africa katika Amani na Usalama. === Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Ukweli ni Kwamba CCM ni chama Bora kabisa Tanzania na Barani Africa ila haiwezi kuwa na Maajabu yoyote kwa hawa " Wapiga kura wa Kisasa" Wakati Kikwete anasema CCM ijivue gamba alimaanisha...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Sheria ya Tanzania inataka pesa za noti ziwekwe kwenye waleti siyo mfukoni kwa kuzikunja kunja lakini watanzania hii sheria sijui kama tunaijua. Ukikunja pesa na kuiweka mfukoni tu ni kosa na...
3 Reactions
4 Replies
436 Views
Mama anazidi kukimbiza kazi kimya kimya.Watu wa Mwanza by Desemba 2025 mtaanza kupanda SGR walau Hadi Isaka wakati Kipande Cha Isaka-Tabora Kikisubiliwa kukamilika. Kimya kimya mama anakimbiza...
0 Reactions
2 Replies
896 Views
CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa. Ona anavyoua wapinzani wake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Ni ushauri tu kwa Wanahabari nguli kama Pascal Mayalla na Aloyce Nyanda, nk, wakachukua ombi la Tanzania huko Umoja wa Africa kama ni fursa itakayoanzia hapa nyumbani. Midahalo inasaidia sana...
4 Reactions
19 Replies
910 Views
Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom