Je Watu Makini Huwa Hawatakiwi Kwenye Utendaji wa Serikali? Case Study Kanali Laban Thomas Aliyetenguliwa kuwa RC Ruvuma.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,107
49,809
Huyu bwana ni Moja ya Wakuu wa Mikoa makini sana niliwahi kuwaona Toka Akiwa DC ila bahati mbaya sana inaonekana Ukiwa huko Serikalini hutakiwi kufanya kazi Kwa umakini.

Wengine ambao wanaweza kutumbuliwa wakati wowote kisa kufanya kazi vizuri ni RC wa Dar,RC Mpya wa Iringa na RC wa Manyara.

Serikalini wanatakiwa watu wa maigizo na wachekeshaji kama RC wa Rukwa, Kilimanjaro au Mara.

Ukiwa makini na mfuatiliaji unawawekea kauzibd Wala Nchi,utapigwa fitina usepe unless una connection nzito.
 
Hakuna watendaji makini kero zisingeibuliwa kila kukicha!
 
Unajua kule ukijifanya unachallenge the voice from abavu hata uwe makini vipi lazima uwekwe kando? Kule inatakiwa maelekezo yakija uyatekeleze kama yalivyo tena kwa kupongeza
 
Kama ambavyo wewe ulikuwa ukilalamika kuhusu uongozi wa JPM

Kazi tuliziona, thamani ya pesa kwenye miradi tuiiona, nchi ilikuwa na mwelekeo tuliuona

Kwa sasa nchi inaelekea wapi?

Mwenye jibu kwa swali hili lazima atumie matusi kwanza kulijibu na, na akifanimiwa kujibu, atalijibu kichawa chawa tu
 
Hujamwelewa, kero nyumbani kwako ukiitatua halafu ikajirudia na kujirudia, maana yake ubaba wako ni wa kijinga!
Kujirudia Kwa kero ni jambo la kawaida na hata zisipojiridia zitakuja zingine ndio msingi wa Maisha hata kwenye Nchi.

Nitajie Nchi ambayo imemaliza kero hapa Diniani
 
Huyu bwana ni Moja ya Wakuu wa Mikoa makini sana niliwahi kuwaona Toka Akiwa DC ila bahati mbaya sana inaonekana Ukiwa huko Serikalini hutakiwi kufanya kazi Kwa umakini.

Wengine ambao wanaweza kutumbuliwa wakati wowote kisa kufanya kazi vizuri ni RC wa Dar,RC Mpya wa Iringa na RC wa Manyara.

Serikalini wanatakiwa watu wa maigizo na wachekeshaji kama RC wa Rukwa, Kilimanjaro au Mara.

Ukiwa makini na mfuatiliaji unawawekea kauzibd Wala Nchi,utapigwa fitina usepe unless una connection nzito.
Labda amerudishwa jeshini aende course awe Brigedia.....kuna mambo mengi sana huko
 
Unajua kule ukijifanya unachallenge the voice from abavu hata uwe makini vipi lazima uwekwe kando? Kule inatakiwa maelekezo yakija uyatekeleze kama yalivyo tena kwa kupongeza
Kuna exception, inategemwa anaye challenge ni nani na unaye mchallenge ni nani otherwise gafla unaona huitwi kwenye vikao/semina, husafiri, unatengwa kwenye hafla, ujue tayari ww unachongoja ni barua tu
 
Back
Top Bottom