Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia,Mamlaka ya Anga imeanza Kuzalisha ndege zake za abiria yaani chartere plane Kwa kushirikiana na kampuni ya Schech ya Airplane Africa Limited ambapo Hadi Sasa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sehemu mojawapo ambayo vyama vya upinzani huwa vinakuwa na malalamiko makubwa wakati wa uchaguzi ni figusu katika uapishwaji wa mawakala wa kusimamia kura za wagombea katika uchaguzi. Nilitegemea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba majibu yawe mafupi mafupi sana Ni wanaweza au hawawezi kwa mujibu wa Katiba basi, usilete Siasa za roporopo Ramadan Kareem 😂
1 Reactions
27 Replies
2K Views
MBUNGE NDAISABA AVUNJA NGOME ZA CHADEMA NGARA, WAPIGWA MLALO WA MENDE Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro katika ziara yake ya kikazi Jimboni wakati akizungumza...
0 Reactions
4 Replies
779 Views
Baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kuonesha mwanga katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, kuna waliodai kuwa anafanya kazi ambayo ingefanywa na mahakama yenye jukumu la...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Takwimu ziongee, Kila Mtaa, Kijiji, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa, Kanda na hatimaye Tanzania nzima imefikiwa. 1. Zimejenga nankuendelezwa Hospital Mpya za Halmashauri 127 2. Yamejengwa majengo 83...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
73 Reactions
990 Replies
74K Views
Salaam, Shalom. Ili kudhibiti matumizi mabaya ya pesa kwenye uchaguzi, pia Ili kuhakikisha vyama vinagharimia ipasavyo wagombea wao, na Ili kuondoa ubaguzi Kwa wagombea wasio njema kiuchumi...
0 Reactions
5 Replies
489 Views
Ni miaka 3 sasa bila yule anayeonekana ni kikwazo cha CHADEMA Shujaa Magufuli kuwepo duniani lakini CHADEMA iko vile vile kama 2021. Nini kinawakwamisha CHADEMA kujitwalia viti vyao halali 19...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Je unadhani hii itakuwa ni mwarobaini wa kero za usafiri wa Mwendokasi? My Take Naunga mkono hoja ila Mwekezaji awe mwenye uwezo isije kuwa kama zile treni za Wahindi za TRC ===== Waziri wa Nchi...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ole Sendeka Mbunge machachari wa Simanjiro na ambae husema kweli Daima bila unafiki amemtaja Rais Samia kama Kiongozi wa mfano ambae ameleta maendeleo makubwa kwenye sekta zote za Uchumi licha ya...
1 Reactions
91 Replies
4K Views
Pamoja na malalamiko makubwa sana kuhusu mfumo mpya wa maisha ulioshika kasi siku za hivi karibuni ni vyema kufahamu pia chanzo kikubwa cha mambo haya. Ukweli ni kwamba katika nchi yetu maslahi...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Kumekuwa na malalamiko kuhusu report zinazotolewa na mawaziri kutathimini miaka 3 ya Rais Samia. Data wanazo ziweka wengi wanaziona kama zimepikwa. Wanauliza kuna ubaya gani mkiweka tawimu...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki. Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe...
19 Reactions
100 Replies
8K Views
Inakuwaje kwamba Kenya, kuanzia kati ya mwaka uliopita, ilishuhudia kuanguka vibaya kwa sarafu yake, Kenya Shilling, hadi kufikia mwisho wa 2023, ilipoteza asilimia 20% ya thamani yake. Shilingi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kila mwaka tangu mpendwa wetu ashike madaraka ya uraisi kumekuwa na maadhimisho ya kuazimisha madaraka yake. Je, haya mabango, matangazo kwenye vyombo vya habari, Makongamano na dhifa...
3 Reactions
19 Replies
780 Views
Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa. Ni muda...
2 Reactions
2 Replies
445 Views
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania. Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo; 1. Ni...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi...
8 Reactions
77 Replies
4K Views
Mkoa wa Njombe kwa sasa Kilimo kikubwa ni maparachichi kwa sababu kuna soko la uhakika. Je baada ya miaka 5 ijayo soko hili litakwepo huko nje? Njombe na Mbeya ni muhimu kukawa na kiwanda kidogo...
1 Reactions
5 Replies
777 Views
Back
Top Bottom