Hivi kikatiba CDF mstaafu, IGP mstaafu na DGIS mstaafu Wanaweza kugombea uRais wa JMT au Zanzibar?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,069
Naomba majibu yawe mafupi mafupi sana

Ni wanaweza au hawawezi kwa mujibu wa Katiba basi, usilete Siasa za roporopo

Ramadan Kareem 😂
 
Naomba majibu yawe mafupi mafupi sana

Ni wanaweza au hawawezi kwa mujibu wa Katiba basi, usilete Siasa za roporopo

Ramadan Kareem 😂
hakuna kinachowazuia kikatiba wala kisheria 🐒

maadam ni raia wa Tz, mwanachama wa chama cha siasa amepitishwa na chama na tume ya uchaguzi kuthibitisha kua ana sifa na vigezo vya kugombea nafasi ya uongozi anaruhusiwa kugombea 🐒

haipo sehemu kwenye sheria wala katiba inamzuia kuwa kiongozi🐒

na by the way CDF mstaafu ni kiongozi wa Jumuiya ndogo ndogo, ni kiongozi wa kanda, lakini pia ni kiongozi wa wanaume wa katoliki (UWAKA), ni kiongozi wa wazee na wastaafu huko mtaani kwake 🐒
 
Back
Top Bottom