Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake. Siku hizi huoni Samia...
21 Reactions
96 Replies
6K Views
Jana 17/03/2024 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya Kifo cha Raisi wa Awamu ya Tano, tena akiwa Kazini lakini sijasikia kauli yeyote ya Serikali au CCM kuenzi au kuyaendeleza mazuri ya Kiongozi huyo...
0 Reactions
2 Replies
566 Views
CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati? Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02...
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi? swali la pili: Je, mtu ambaye...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mtu mmoja kwenye mkutano wa Trump jimboni Ohio amesikika akisema " Zamu hii uwe kama yule Shujaa wa Africa aliyewalinda Watu wake wakati wa COVID 19" Wengi wametafsiri Mzungu huyo alimaanisha...
26 Reactions
74 Replies
3K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutunga Sheria ya kuiwezesha Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kauli hiyo imetolewa na Makamu...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Hii ilikuwa ni katika kipindi chao cha "maoni mbele ya meza ya duara" jana: Kuliangazia hilo yafuatayo yalimulikwa: 1. Madai ya kuwa ACT kinafanya siasa zisizo na uhalisia kikipendelea ukaribu...
1 Reactions
8 Replies
805 Views
Miss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto...
79 Reactions
148 Replies
13K Views
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YATEMBELEA MAGHALA YA JESHI NA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA KUFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HIYO Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
0 Reactions
2 Replies
799 Views
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI (JPM) JPM hakupenda kusafirisafiri Nje ya Nchi na hakupandisha Gharama za Maisha kwa Watanzania! JPM ameweka REKODI kwa kutufanyia mambo makubwa...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi. Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa...
8 Reactions
100 Replies
6K Views
Huo ndio Ukweli Mchungu hata kwa Zitto Kabwe mwenyewe. Shujaa Magufuli alimchukulia Zitto Kabwe kama Petro kwenye siasa za Tanzania kutokana na Ujasiri wa Kijana huyo wa Kigoma anapoweka pembeni...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na...
1 Reactions
3 Replies
563 Views
Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
TANI 20 za mchele mbovu pamoja na tende tani 4.1 zimeteketezwa katika shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake baada ya kuonekana bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya...
1 Reactions
6 Replies
909 Views
Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa...
0 Reactions
12 Replies
936 Views
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka mjini Bukoba , kama ilivyosambazwa na Mwananchi Digital . Zaidi jionee Mwenyewe Kigogo wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba...
11 Reactions
87 Replies
7K Views
Nampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kufanyiwa sara ya TOBA. Sio tu toba alitambua umuhimu wa paroko akaitwa na kadinari pengo nae akawepo akafanyiwa sala ya toba na kufa. Hii ni inshara TOSHA...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom