Wakati ni sasa kwa vijana kushika nafasi za uongozi

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
349
464
Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa.

Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna mengi tunajivunia kwa uongozi wao. Mfano: 1. Amani, lugha moja/umoja, Nchi (Wazee hawakuuza nchi yote. Tunawashukuru kwa hayo na mengine mengi).

Wito wangu kwa vijana (miaka 18 - 45/48 maximum) ni lazima mwakani tuchukue nafasi kubwa za kuongoza nchi. Rais akiwa zaidi ya umri huo sawa kwa 2025 ila makamu wa rais, PM, Ministers, Wabunge, RCs, Madiwani, DC, Executives, Directors, etc. Kwa lugha nyingine wafanyakazi wote serikalini na sekta binafsi umri ndiyo huo.

Katiba yetu itamke umri wa kustaafu kwa lazima mwisho miaka 50 na hakuna kuajiriwa tena coz wanaomaliza vyuo ni wengi na hakuna ajira alafu huku wazee wanapeana ulaji tu. BIG NOO.

Tunataka mabadiliko.
 
Mingi sn iwe 40 inatosha maana tayari utakuwa na mtaji ukajiajiri.
 
Back
Top Bottom