Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,621
- 46,265
Sehemu mojawapo ambayo vyama vya upinzani huwa vinakuwa na malalamiko makubwa wakati wa uchaguzi ni figusu katika uapishwaji wa mawakala wa kusimamia kura za wagombea katika uchaguzi.
Nilitegemea CHADEMA kudai mawakala wawe wanaapishwa na maafisa wa mahakama kwa maana ya majaji, mahakimu na mawakili kisha viongozi wa chama chenu wapeleke orodha hiyo ya mawakala wenu mapema ofisi za tume ya uchaguzi.