Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati?
Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02...
Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi?
swali la pili: Je, mtu ambaye...
Mtu mmoja kwenye mkutano wa Trump jimboni Ohio amesikika akisema " Zamu hii uwe kama yule Shujaa wa Africa aliyewalinda Watu wake wakati wa COVID 19"
Wengi wametafsiri Mzungu huyo alimaanisha...
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutunga Sheria ya kuiwezesha Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kauli hiyo imetolewa na Makamu...
Hii ilikuwa ni katika kipindi chao cha "maoni mbele ya meza ya duara" jana:
Kuliangazia hilo yafuatayo yalimulikwa:
1. Madai ya kuwa ACT kinafanya siasa zisizo na uhalisia kikipendelea ukaribu...
Miss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YATEMBELEA MAGHALA YA JESHI NA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA KUFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HIYO
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI (JPM)
JPM hakupenda kusafirisafiri Nje ya Nchi na hakupandisha Gharama za Maisha kwa Watanzania! JPM ameweka REKODI kwa kutufanyia mambo makubwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa...
Huo ndio Ukweli Mchungu hata kwa Zitto Kabwe mwenyewe.
Shujaa Magufuli alimchukulia Zitto Kabwe kama Petro kwenye siasa za Tanzania kutokana na Ujasiri wa Kijana huyo wa Kigoma anapoweka pembeni...
Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na...
Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho.
Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi...
TANI 20 za mchele mbovu pamoja na tende tani 4.1 zimeteketezwa katika shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake baada ya kuonekana bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu.
Akizungumza baada ya...
Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake.
Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa...
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka mjini Bukoba , kama ilivyosambazwa na Mwananchi Digital .
Zaidi jionee Mwenyewe
Kigogo wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba...
Nampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kufanyiwa sara ya TOBA. Sio tu toba alitambua umuhimu wa paroko akaitwa na kadinari pengo nae akawepo akafanyiwa sala ya toba na kufa.
Hii ni inshara TOSHA...
Nimeyasikiliza na kuyasoma maelezo ya CDF juu ya dakika za mwisho za Hayati John Magufuli.
Kwa imani ya kikatoliki, na nadhani ya wakristo wote:
1) Dakika za mwisho huamua mwanadamu aende wapi...
Nimemwelewa sana Lema. Huwa kuna kipindi tunapishana lakini katika hili ana hoja. Miaka kadhaa tulipokea mahindi ya Yanga baada ya vita vya Kagera toka USA. Tuambiwe tulipata madhara gani.
Dawa...
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.