Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Kumekuwa na malalamiko kuhusu report zinazotolewa na mawaziri kutathimini miaka 3 ya Rais Samia.
Data wanazo ziweka wengi wanaziona kama zimepikwa. Wanauliza kuna ubaya gani mkiweka tawimu sahihi?
Watanzania tunaheshimu kazi ambayo Rais samia ameifanya hasa kumalizia miradi ambayo aliachiwa na mtangulizi wake Rais John Magufuli.
Mfano: Waziri wa tamisemi anasema eti ndani ya miaka 3 serikali ya awamu ya 6 imejenga hosoitali mpya za halmashauri 127 wakati kuna jumla ya halmashauri 185 tu.
Wote tunatambua magufuli hadi anafariki alijenga hospitali za hamashauri karibia zote ambazo zilikua hazina hospitali zaidi ya hospitali 50. Magufuli amekuta kuna hospitali za halmashauri nyingi zipo.
Waziri wa tamisemi anataka kusema wakati Rais samia anaingia halmashauri 127 zilikua hazina hospitali?
Ukisoma report wanazo toa ni kama kumchafua Rais kwamba anapenda sifa zisizo mhusu wakati Rais mwenyewe hajawaambia wafanye hivyo.
Kuna ubaya gani kumpa sifa mtu anazo stahili?
Mchengelwa tunajua hawezi kunyoisha mambo lakini mawaziri wengine wanashida gani?