Miaka 3 ya CHADEMA bila Magufuli wameshindwa kuwaondoa Halima Mdee na wenzake Bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Ni miaka 3 sasa bila yule anayeonekana ni kikwazo cha CHADEMA Shujaa Magufuli kuwepo duniani lakini CHADEMA iko vile vile kama 2021.

Nini kinawakwamisha CHADEMA kujitwalia viti vyao halali 19 maalumu vya Ubunge ikiwa hata Uongozi wa Bunge ni mpya yule Ndugai hayuko tena.

Ikumbukwe wengi wa wale COVID 19 waligombea Ubunge kwenye Majimbo wanashindwa na kura zao Kule majimboni zinachangia Ruzuku ya sasa inayopokelewa kiroho Safi na CHADEMA.

Je, ni mzimu wa Magufuli ndio unaitesa CHADEMA au laana ya kumtosa yule Mratibu wa Ziara ya Papa Yohanne Paul nchini Dr. Slaa bado inawatafuna?

Ramadan Mubarak. 😄😄🔥
 
Wawaondoe kwani wamefanya kosa gani?
 
Walishafukuzwa mbona kitambo wale sio wanachama, sema walikimbilia mahakamani kulinda ubunge wao but mpaka sasa sio wanachama tena. 2025 ndiyo hiyo imefika tutaona watafanya nini maana wameshapoteza credibility yote, hawaaminiki tena.
 
The effects of the war last longer than the war itself.
 
Ramadan Mubarak.
Ni kwann watu wana mawazo finyu? Chadema wana mamlaka gani ambayo yangeweza kuwaondoa bungeni akina Mdee na wenzake baada ya JPM kufariki?

Chadema inaweza kuwa vilevile sawa, wewe ulitaka iweje baada ya Magufuli? Ipindue nchi au?
 
Ni miaka 3 sasa bila yule anayeonekana ni kikwazo cha CHADEMA Shujaa Magufuli kuwepo duniani lakini CHADEMA iko vile vile kama 2021.

Nini kinawakwamisha CHADEMA kujitwalia viti vyao halali 19 maalumu vya Ubunge ikiwa hata Uongozi wa Bunge ni mpya yule Ndugai hayuko tena.

Ikumbukwe wengi wa wale COVID 19 waligombea Ubunge kwenye Majimbo wanashindwa na kura zao Kule majimboni zinachangia Ruzuku ya sasa inayopokelewa kiroho Safi na CHADEMA.

Je, ni mzimu wa Magufuli ndio unaitesa CHADEMA au laana ya kumtosa yule Mratibu wa Ziara ya Papa Yohanne Paul nchini Dr. Slaa bado inawatafuna?

Ramadan Mubarak. 😄😄🔥
Tatizo ni mfumo wala si Magu au Ndugai
 
Walishafukuzwa mbona kitambo wale sio wanachama, sema walikimbilia mahakamani kulinda ubunge wao but mpaka sasa sio wanachama tena. 2025 ndiyo hiyo imefika tutaona watafanya nini maana wameshapoteza credibility yote, hawaaminiki tena.
mtasangaa watakaporudi tena bungeni
 
Walishafukuzwa mbona kitambo wale sio wanachama, sema walikimbilia mahakamani kulinda ubunge wao but mpaka sasa sio wanachama tena. 2025 ndiyo hiyo imefika tutaona watafanya nini maana wameshapoteza credibility yote, hawaaminiki tena.
Kwani Tanzania ina vyama vingapi vya siasa hadi wakose pa kwenda???
 
Sio kazi ya CDM kuwaondoa, kazi ya CDM ni kuwaambia watawala hao ni wahuni, afu watawala wataamua wenyewe.

Kwa katiba yetu hii wote tunajua wataachia ubunge bunge likivunjwa. Na ndiyo maana watawala wanaipemda sana katiba yetu ya hii.
 
Back
Top Bottom