Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Kulingana na hii statement ya Bw Rweyemamu nadhani serikali haioni sababu za kumleta huyu bwana ajibu maswali ya Wa-TZ.My opinion ni kwamba huyu bwana anamaswali ya kujibu and that...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sitta aagiza kupitiwa upya kwa sheria ya maadili Maulid Ahmed Daily News; Friday,May 09, 2008 @19:02 Spika wa Bunge, Samuel Sitta ameiagiza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais mpya wa Urusi, Bw Medvedev anakusudia kumteua rais anayemaliza muda wake Vladimir Putin kuwa waziri wake mkuu. Yaani baada ya kuwa rais kwa miaka minane, Putin anarejea serikalini kama waziri...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa mambo yaliyojitokeza, Monduli mpaka Bariadi ni kufedhehesha Utawala Bora na miiko iliyowekwa na wenye mapenzi mema (waliyaita maadili ya viongozi wa umma). Kama kweli ni busara, tulijiwekea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana, Naomba kuuliza. Je, kuna mtu ambaye anafahamu "Standard Operating Procedures" zinazotumika wakati wa kufanya processing ya "incoming international payments" from overseas banks...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf, Baada ya jana mie kuhitimisha kuwalemisha watanzania kuhusu Mzee Ben kuachwa kuzomewa na kupanga nini kifanyike chenye manufaa zaidi kwa ajili ya watanzania,nilikaa chini na...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Govt,Zitto clash over Bill By The Citizen Reporter THE CITIZEN With mounting public concern over the declining level of public leadership accountability, the government and opposition...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndiyo, tuwazomee mpaka wakose raha Johnson Mbwambo Mei 7, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo WIKI iliyopita kuna kitu kilichotokea mjini Dar es Salaam ambacho kilinifariji mno...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TANZANIA: Agreement signed with US to combat financial crimes DAR ES SALAAM, 27 August 2002 (IRIN) - The US government and Tanzania have signed an agreement on technical assistance for capacity...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Putin confirmed as new Russian PM President Medvedev (right) plans to work "in tandem" with PM Putin Russia's parliament has overwhelmingly approved former President Vladimir Putin as...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania milioni moja – One –MT project Nimekaa nikifikiria kuhusu ujasiriamali nikajikuta naona mradi madhubuti ambao kama kweli, kwa nia moja na thabiti isiyo na chembe ya...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Mwananchi-leo WANASIASA wa Tanzania siku hizi, wanashangaza kutokana na tabia yao ya kutaka kuonekana safi, hata wanapotuhumiwa na mambo mazito yanayohusiana na matumizi mabaya ya nafasi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Huwezi kukwepa wajibu wako kama kiongozi. Uongozi kazi yake ni kuamua mambo mazito, na wakati wote unaweza kuwa na wasiwasi, lakini unaamua kwa maslahi ya taifa. Hata kama katika kuamua huko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima zenu wana JF, Tunawashukuru nyote kwa ushirikiano mnaotupa. Aidha tunaomba ushirikiano zaidi katika hatua mpya tunayokaribia kuingia... Siku si nyingi zijazo tutafanya marebisho makubwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ThisDay, May 7th, 2008 ANALYSIS: JK stuck at Mkapa’s bridge? IBRAHIM JOHN Dar es Salaam TANZANIANS have stumbled upon stunning revelations on a sealed chapter of history that was never...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chama cha Wananchi CUF kimesema kiko tayari kurejea kwenye mazungumzo ya muafaka na Chama cha Mapinduzi endapo mazungumzo hayo sasa yataongozwa na Rais Kikwete mwenyewe kama Mwenyekiti. Mwenyekiti...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Closed
Shahidi kesi ya Kubenea: Watuhumiwa waliahidiwa mil. 2/- Na Mwandishi Wetu SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kuwajeruhi na kuwamwagia tindikali waandishi wawili wa magazeti ya Mwanahalisi na...
0 Reactions
107 Replies
18K Views
mwezi huu siku ya sikukuu ya wafanyakazi Jiji la London waliweza kuchagua Mayor wao japo siku hiyo ilikuwa ni siku ya wafanyakazi ila chama cha wafanyakazi/Labour kilishindwa kuitumia siku hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1 CCM (Chama cha Mapinduzi) is the quantity of stupidity in 1000 mature people who have lost 63.3% or (1-exp(-1)) of their reasoning power. The level of stupidity in a normal person is between 2...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kweli kabisa jama ukitaka kumuua kobe wewe shika jisu lako kubwa tu halafu mwekee majani kinywani na kuvizia akichiomoza kichwa tu unamkata! usemi huu unadhihirika katika mambo mengi sana katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom