Tucta changes May Day motto
2008-04-30 09:28:41
By Austin Beyadi
The theme for this year`s May Day has been changed following government instructions to the Trade Union Congress of Tanzania...
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:
CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya Nguvu ya Umma na kuamini katika...
Dear passengers,
Kesho ni siku ya mapumziko kwa ajili ya siku kuu ya wafanyakazi. Siku hiyo ndiyo dege lile lililokodiwa ambalo licha ya malipo mengi linakuja bado likiwa na matatizo mengine...
The objective of the Board is to assist, on a loan basis, needy students who secure admission in accredited higher learning institutions, but who have no economic power to pay for the costs of...
The theme for this year`s May Day has been changed following government instructions to the Trade Union Congress of Tanzania, according to a top-ranking trade unionist.
The discarded theme...
Grand corruption in Tanzania: UK envoy calls for suspects� prosecution
-Remarks come on the back of more and more allegations facing top politicians, govt officials
ALVAR MWAKYUSA...
MFANYABIASHARA maarufu nchini,Rostam Azizi Pichani,amemshitaki Mhariri wa gazeti la kila wiki la MwanaHalisi na wachapishaji wake akitaka alipwe Sh bilioni tatu kwa kuchapisha habari...
Mwenye hoja na athibitishe kama hiki kitengo sio kinaonyesha mazingaumbwe nchini. Wakati ule tukiwa watoto wa primary tuliona vitu kama hivi vinavyofanywa na pccb. Hawana jambo lolote serious...
Muda mfupi uliopita, waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi, prof Jumanne Maghembe, amelitangazia Bunge kuwa serikali imefuta udahili wa wanafunzi takribani 300 wa Chuo Kikuu Dar es Salaam.
Katika...
Hatimaye hawa jamaa waliokuwa wamelala usingizi miaka chungu nzima huku ufisadi ukishamiri waanza 'kumchunguza' Chenge. Je, watafanya 'uchunguzi' wa kweli au watafanya usanii kama walioufanya...
Mama Kilango, hutakuwa pekee yako katika mapambano hayo dhidi ya mafisadi. Watanzania tutashirikiana nawe bega kwa bega katika vita dhidi ya mafisadi mpaka wote washughulikiwe na mkono wa sheria...
Niliwapa onyo mwaka jana... mkadhani ninawatania.. mjiandae.... mmoja baada ya mwingine ili liwe somo kwenu na kwa wapambe wenu.. Mnataka kuzungumzia mambo ya kitandani na chini ya mablanketi?
Posted Date::4/28/2008
Aliyeanza kutikisa mnara wa Babel asaidiwe kuuangusha
Na Hemed Kivuyo
Mwananchi
KATIKA kila uongozi wa nchi kuna miiko, mojawapo ya miiko ya uongozi ni kiongozi...
Do you have the right leader?
BBC News Online
Africa's history is littered with leaders who have governed using different styles.
From dictators to military leaders to authoritarians to...
Syndicate mints billions
By Tom Mosoba
THE CITIZEN
A commission of inquiry has revealed how a syndicate of human traffickers was minting billions of shillings from smuggling mainly Somali...
niliposoma hii makala suali la kwanza nililojiuliza hivi chadema wameanza kujipanga huko kwetu kwa kuanza na wasomi au vipi?
sawa tunawakaribisha
Wataka rais wa Z`bar awe Makamu wa Rais...
Naomba kuuliza Kwanini Mkapa?
Na kwanini iwe baada ya miaka mitatu toka alipotoka serikalini,hawa wanaomsema huyu mzee ni mla Rushwa walikuwa wapi zamani kusema haya,
Rais alisema wamuache Mzee...
Wananchi wapigwa risasi, walawitiwa na walinzi
*Mwekezaji ajinasibu ni rafiki wa Rais Kikwete
*Wananchi sasa waja juu, wataka tamko la Rais
Na Mwandishi Wetu, Korogwe
MIGOGORO kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.