Mzito wa Kabwela Kumbuka Kumuua kobe ni kwa kumvizia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzito wa Kabwela Kumbuka Kumuua kobe ni kwa kumvizia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kaisa079, Nov 22, 2007.

 1. kaisa079

  kaisa079 Member

  #1
  Nov 22, 2007
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kweli kabisa jama ukitaka kumuua kobe wewe shika jisu lako kubwa tu halafu mwekee majani kinywani na kuvizia akichiomoza kichwa tu unamkata! usemi huu unadhihirika katika mambo mengi sana katika maisha yetu ya kila siku,kwa mfano katika siasa Mheshimiwa Marando wa NCCR-Mageuzi alivyochomoza tu wakamchapa ubunge wa EAC,siku hizi unamsikia? walishamuua kisiasa,sasa na huyu kijana wetu 'Mzito wa Kabwela' watamfanya tu hivyohivyo si unaona Kikwete anavyomvizia kwa kumsogezea majani kinjwani? yaani kamweka ktk kamati sijui kamati gani ile,siku akichomoza tu tutamsikia SISIEMU!
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Anakaribishwa bila kuviziwa..:D
   
 3. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mawazo mgando.fikra sahihi huja kwa lugha sahihi.
   
Loading...