Pinda Jiuzulu kazi imekushinda
Iwapo mnataka kumchagua tena Rostam zingatieni amewafanyia nini katika ubunge wake. Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake...
**********************************************************
Waweza kusoma habari hii hapa chini au attachment niliyoambatanisha humu ambayo ni scan ya gazeti la TUMAINI LETU...
Aliyedaiwa kuwa ni "FISADI WA ELIMU" Dr.Milton Makongoro Mahanga amefungua Civil case No.145 ya mwaka 2009 dhidi ya;
1.KAINERUGABA MSEMAKWELI.
2.MUHIBU SAIDI.
3.MANAGING EDITOR,NIPASHE.
4.THE...
mjane wa marehemu habyarimana ageukwa na maswahiba wa mumewe. kwa maelezo zaidi soma hapa chini
http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2010/03/100302_habyarimana.shtml
Kwa wale walio UK wanaweza kuangalia BBC channel 4 maisha ya Zimbabweans today so sad story ..... ....
Zimbabwe's Forgotten Children
http://www.bbc.co.uk/bbcfour/watchlive/
Zimbabwe's...
na Betty Kangonga
MFANYAKAZI wa Wizara ya Nishati na Madini, Doroth Mtweve, amehamishwa kutoka makao makuu ya wizara hiyo baada ya kudaiwa kuvujisha siri za ofisi kuhusiana na sakata...
Kusemaga ule ukweli,
Zamani nilipokuwa nasikia 'serikali ina mpango kamambe wa...' (fill in the blanks: 'maji kwa wote ifikapo mwaka 2000; 'afya kwa wote ifikapo mwaka 1990'; 'Structural...
Asubuhi ya leo nikiwa mbele ya kituo cha Polisi Salendar Bridge ulipita msafara wa kiongozi mmoja wa juu serikalini anaenda zake ofisini ulikuwa msusururu wa magari ya kifahari...
The president? The ministers? CCM? The Secret service? religious leaders? Big businessmen? "Mafia" kingpins? Outside powers?
Looking quickly at our country it's hard to tell whose running the show.
Ndiyo Tunawaudhi!!
Wanakaa chini na kujiuliza kwanini tunawafuata fuata! Wanakereka tunapoandika na kuwajadili na wanaona tunawaandama pasipo sababu ya msingi. Wanachukia na wangekuwa na uwezo...
Date: 26 February 2009
Title: Tanzanian publisher admits Mozambican author not properly quoted
Author: Fernando Veloso
New Africa Press, the publishers of "Nyerere and Africa: End of an...
Kumezuka wimbi la baadhi ya viongozi wa CCM na jumuia zake kutaka Kikwete awe mgombea pekee wa urais kupitia CCM......hivi kuna tatizo gani kumpambanisha na wana-CCM wengine wenye nia ya kugombea...
Hili limeanza kuwashtua wanachama wengi wa upinzani baada ya kuona
sasa kila mwenyekiti anataka kwenda kugombea ubunge jimboni mwake
mrema ameanza kukimbilia moshi mjini,mbatia nae...
Wakati tumebakiwa na takriban miezi 6 kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge,vyama vya upinzani vimeendelea kuwa kimya kuhusu wagombea wao katika nafasi ya urais huku baadhi ya...
CUF mambo magumu Bukoba
na Ashura Jumapili, Bukoba
CHAMA cha Wananchi (CUF) katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kimeendelea kupoteza umarufu wake siku hadi siku kufuatia kuondokewa na...
Obama Atakiwa Aache Kuvuta Sigara
Rais Barack Obama wa MarekaniMonday, March 01, 2010 6:54 AM
Rais Barack Obama wa Marekani ametakiwa aache kuvuta sigara na daktari wake.Rais Obama ametakiwa na...
Raisi Jakaya Kikwete amehitimisha uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais kwa kumteua Bw. Ismail Jussa Ladhu, wa CUF na Janet Mbene wa CCM kuwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa...
Ni mtizamo wangu kwamba kutokana na viongozi wa vyama vikubwa vya upinzani kuamua kugombea ubunge,ni wazi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuongezeka idadi ya wabunge wa upinzani bungeni kwenye...
Ili kupunguza ajali barabarani, Serikali ya Tanzania imeamua kuweka Gavana kwenye kila Basi na Lori eti kudhibiti mwendokasi wa Magari haya.
Lakini Barabara zetu bado ni mbovu, zina matuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.