Mchapishaji wa Mwakikagile akiri... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchapishaji wa Mwakikagile akiri...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 1, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Date: 26 February 2009

  Title: Tanzanian publisher admits Mozambican author not properly quoted


  Author: Fernando Veloso

  New Africa Press, the publishers of "Nyerere and Africa: End of an Era" by
  Godfrey Mwakikagile, has publicly admitted that passages taken from Joao
  Cabrita’s work entitled, “Mozambique – The Tortuous Road to Democracy” were
  not properly cited. In a statement released via the “Moçambique para Todos”
  blog (which took the report originally published in Canalmoz and Canal de
  Moçambique – Semanário), New Africa Press said “the matter will be
  corrected in the next edition of "Nyerere and Africa: End of an Era" to be
  published before the end of the year.” The publisher, which has offices in
  Dar es Salaam and Pretoria, added that the name of the author of
  “Mozambique – The Tortuous Road to Democracy” as well as the title of his
  book would be cited in the text and in the chapter notes for the chapter in
  which Godfrey Mwakikagile dealt with the founding of Frelimo.

  The statement issued by «New Africa Press» came in the wake of a heated
  debate on the “Moçambique para Todos” blog. The debated had been prompted
  by a report carried in Canalmoz on 17 February 20010, saying Godfrey
  Mwakikagile had plagiarized huge chunks of Joao Cabrita’s book which was
  published by Palgrave Macmillan in 2000.

  [The original version in Portuguese may be viewed at:

  http://www.canalmoz.com/default.jsp?file=ver_artigo&nivel=0&id=&idRec=7392]


  ***

  Statement issued by New Africa Press on 24 February 2010 :


  We are the publishers of Godfrey Mwakikagile's book "Nyerere and Africa:
  End of an Era."

  The matter has been brought to our attention and it will be corrected in
  the next edition of "Nyerere and Africa: End of an Era" in which proper
  citations will be made. Joao Manuel Cabrita's name and his work will be
  given full attribution in the text and in the chapter notes on Mozambique.
  The next edition will be published before the end of the year.

  Thank you very much.

  New Africa Press
  newafricapress@yahoo.com
   
 2. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 0
  - Naona mkuu wangu umekomalia nyani giladi, JF bwana yaani wallahi where we dare!

  Respect.


  FMEs!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Mar 1, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,076
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  Sure kama alivyowahi kusema MKJJ wenye nguvu/uwezo wanaweza kuanguka sometime!

  wamefanya vyema kabisa.

  "man must be big enough to admit his mistakes, smart enough to profit from them, and strong enough to correct them"-John C.Maxwell
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Mar 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  sasa sijui kama Mwakikagile mwenyewe atatoa kauli yake juu ya hii flap au haitaji kufanya hivyo.
   
 5. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 0
  - Wewe subiri tu sasa hivi utaona hapatakalika hapa, watch!

  Respect.


  FMEs!
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Good avatar Mwanakiijiji inaonyesha busara na uzee au vipi?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Mar 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,520
  Trophy Points: 280
  Lol...yuko wapi Shwari?

  Na Mwanakijiji, huko kwenye mabulogu ya Wamsumbiji unafanyaga nini? Unaelewa Kireno?
   
 8. B

  Bondeni Member

  #8
  Mar 1, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimefwatilia suala hili bila kusema chochote mpaka sasa.

  Kama publisher alivyosema, the source was not properly cited, not that it was not cited at all.

  Nimeona pia posts za Wanamsumbiji waliosema hakukuwa na jina la mwandishi wao kwenye source hiyo. Lakini sasa litaongezwa kwenye edition ijayo ya kitabu cha Mwakikagile for proper citation katika kitabu na notes. Pia ni muhimu kuchunguza sources tunazotumia. Ikiwa hazina majina au identity kamili, ni vyema kuzichunguza zaidi ili ujue zinatoka wapi for full and proper identification.
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,489
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Bondeni,
  Nadhani umefafanua vizuri sana. "Sources not properly cited" does not fall into the category of plagiarizing.
   
 10. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,052
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kama umecopy maandishi ya mtu mwengine bila ya proper citation basi hiyo ni plagiarism.
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,489
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hapana. Source haikuwa na jina la mwandishi. Na source ilikuwa cited prominently kwenye notes za mwandishi. Plagiarism ni pale unapotumia kauli za mwengine na kuzifanya zionekane ni zako.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Mar 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,520
  Trophy Points: 280
  Sasa nyinyi hapa mnacheza na maneno kumtetea mshikaji wenu tu. Jamaa ni plagiarist.
   
 13. B

  Bondeni Member

  #13
  Mar 1, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekwenda tena huko kwenye blogu za Msumbiji kujionea zaidi na nimeona yafwatayo:

  A pedido do editor, publica-se o seguinte esclarecimento:
  We would like to add the following: The author, Godfrey Mwakikagile, cited the source he had available and identified it the way it was. It did not have the name of Joao Manuel Cabrita. Therefore it is not a case of non-attribution by Godfrey Mwakikagile but one of insufficient citation. Had the pdf file been identified by the name of the author, Godfrey Mwakikagile would have named the author of that pdf file in his book. That is why we are going to include the name of Joao Manuel Cabrita in the next edition in the text and in the chapter notes.

  New Africa Press
  Veja http://macua.blogs.com/moambique_para_todos/2010/02/autor-moçambicano-não-foi-citado-de-forma-apropriada.html
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
   
 15. M

  Mundu JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ...lets call a spade, a spade! i think i have made my self clear here.

  nakumbuka nilipokuwa form tu, tulikuwa tunatumia maneno kama 'amegerezea'. Mshkaji amegerezea, halafu "haku acknowlegde" na baada ya kelele kupigwa, mambo yanawekwa sawa. Sasa mbona tunauma midomo?
   
 16. S

  Shwari JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2010
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 245
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mchapishaji wa kitabu cha Mwakikagile hajaongeza chochote kipya besides stating the obvious in terms of insufficient citation as opposed to non-attribution. There is a difference between the two. Tofauti ni kwamba insufficient citation, hata ikiwa haitoshi, ina identify source, while non-attribution doesn't.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,520
  Trophy Points: 280
  Wapambe mnaanza kutuletea mambo ya "it depends on what the meaning of 'is' is"....LMAO....
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Mar 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Katika uandishi haya mambo yanatokea na huwa yanasahihishwa. Kwa kuangalia uandishi wa Mwakikagile hadi hivi sasa siwezi kuamini kuwa aliandika kitu ambacho alimjua mwandishi wake lakini akashindwi kumhusisha na maandishi hayo moja kwa moja. Na kwa vile sasa mwandishi wa source yake amejulikana mchapishaji amesema watasahihisha hilo kwenye toleo lijalo.

  Kwa kipimo chochote sidhani kama tunaweza kumhukumu kwa ukali Mwakikagile na kumuweka kwenye kundi la wadesaji.

  Nilipopata taarifa hizi awazi niliziweka kwa alama ya kuuliza kwa makusudi na ndani ya siku chache yaliyopaswa kufanyika yamefanyika. Hii ina maana ya kwamba Mwakikagile au mtu wake amekubali kuwa katika suala linalohusishwa juhudi ya kutosha haikufanyika ya kucite source properly, kwa teknolojia iliyopo sasa hivi ni rahisi sana kuweza kumjua mtunzi wa kazi yoyote ya kitaaluma. NI wazi juhudi hizo za source ya Msumbiji hazikufanyika.

  Lakini vile vile wao wenyewe (Msumbiji) wanakubali kuwa kazi hiyo ya kitaaluma haikuwa na taarifa za kutosha kumuwezesha mnukuaji kuinukuu kwa haki. Kama huweki jina na taarifa za kutosha mtu akikunukuu atanukuuje? Hivyo, na wao wenyewe wanakiri kuwa watahakikisha kazi hiyo inakuwa properly titled ili kuwezesha proper citation.

  Naamini mjadala unaweza kufungwa.
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,489
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Senks. Na mwambie Julius aache kutusakama sisi tuliomkingia kifua Mwakikagile:-
   
 20. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kweli na wewe babu yangu Mwanakijiji kweli umechimbia sana, kama ndio hivyo basi tumsubiri yeye mwenyewe Godfrey aje na aseme kama ni kweli au vipi??
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...