Naona ubalozi wetu huko London unawakilisha CCM zaidi ya serikali ya Tanzania.Tangu balozi wa sasa ateuliwe balozi nyingi zimefunguliwa karibu nchi nzima.Juzi alihudhuria mnuso wa CCM huko mjiniu...
OMBI MAALUM:
Nimeamua kuliweka hapa hili ombi kwa sababu kuu mbili; Yakwanza ikiwa hapa ndipo wana-JF wengi zaidi wanafika ukifananisha na majukwaa mengi na sababu ya pili ikiwa ombi langu...
Mi nashangaa sana eti mjadala wa sasa ni 'haki sawa kwa wote' eti wakiwa na maana kuwa mwanamme na mwanamke wote wawe sawa kwenye kila nyanja, wana hoja yao eti wanawake wamekandamizwa mda mrefu...
Wadau mwenye soft copy ya Azimio la Zanzibar aning'inize humu jamvini pls! Salute kwa wote.
======
MAAMUZI YA ZANZIBAR, 1991
HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM, RAIS ALI HASSAN MWINYI WAKATI...
Kwenye wavuti ya Bunge la Tanzania kuna sehemu ya kumuuliza Spika:
ASK THE SPEAKER
Hon.Samuel Sitta(MP)
Online interactive forum with the SPEAKER
Cha kushangaza nimemwandikia Spika na kuwa na...
Nauliza Mh Warioba mbona kimya,hapo zamani alikuwa na kawaida ya kutoa maoni au kushauri juu ya mustakabali wa nchi yetu pale Wakubwa walipokuwa wanafanya madudu yao.Lakini baadaye tukasikie kuwa...
kutokana na taarifa zilzo toka tume ya uchaguzi na nyaraka zake kutumwa kwenye vyama vya siasa nchini kuhusu ushiriki wa vyama vya siasa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ambalo dar ni 22...
Wana JF naweza kuconfirm kuwa Maalim Seif Hajafariki kama uvumi ulivyoonea wakti wa Magharibi bali alianguka tuuu na akapelekwa hospitali ya Hindu Mandal...so far habari ni kuwa hajafa na yu...
Kuna habari kuwa uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka huu huenda usifanyike endapo serikali itaendelea na msimamo wake wa kutoruhusu mgombea binafsi inasemekana kuwa mawakili mbalimbali wakishirikiana na...
Jana Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro na mbunge wa Iringa mjini kaweka wazi nia yake ya kutetea jimbo lake, Mama huyu ambaye hakubaliki sana kwenye jimbo lake kiasi cha watu kuamini kuwa...
CHAMA cha siasa chenye usajili wa muda cha CCJ (Chama Cha Jamii), kimeondokana na mpango wa kutumia picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwenye kadi zake za uanachama...
Hatua hiyo...
Naanza kumchunuku Jaji Kiongozi.. nimemfuatilia tangu alipoteuliwa na kwa namna fulani nimegundua kuwa haumi umi maneno na anasema kila anchomaanisha. Safari amenigusa kwenye jambo hili jingine la...
Wakati tuko bize na huu wa NHC kuna mwingine unaendelea kule DAWASCO (ambao kuna wakati walinipiga mkwara nisianike data za deal nzima ya Privatization yao).
Naam katika hii game ya MICHEZO ya...
Na hii hapa chini maeneo ya Msasani
Hapa ni njia ya kituo cha Polisi cha Msimbazi kama kinavyoonekana kwa mpiga picha. Nimepata picha hii toka kwa Evarist Chahali FB;
Ninajiuliza:
a. Uchafu...
taarifa toka njia panda ya mzumbe pale morogoro ni kwamba basi la scandnavia la kwenda mbeya limewaka moto likiwa na abaria wote garini. Hakuna aliyepoteza maisha.
Chanzo cha habari amesalimika...
Marekani.com
Nataka kutengeneza mtandao wenye hilo jina la Marekani.com.
Kama Mswahili uliyeko Tanzania, au popote pale; ungependa kuona taarifa gani, au huduma zipi kwenye mtandao wa...
Leo wanawake wa wanasiasa wa Tanzania wamefanya uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake wa Vyama vya siasa Tanzania (Tanzania Women Cross Party Platform,TWCP)lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee...
Tanesco bosses fired over Sh280 billion loan scam
Former Tanesco Managing Director Dr Idris Rashidi.
Two top directors of the cash strapped power utility firm have been suspended...
Jaji mkuu Ramadhan amewashangaza watu kwa kutumia pesa ambayo alipewa kukarabati nyumba yake na kuamua kwenda kukarabati jumba la kumbu kumbu ya Jaji mkuu wa kwanza wa Tanzania Bw. Said.
Sherehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.