Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

We tanzanian we need to change the way we believe on issues about our nation. if we change the belief the performance follows ie if you and me change the our belief we can change the way we run...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwandishi Maalum WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema kuna uwezekano wa kuanzishwa mkoa mpya ambao umependekezwa uitwe Katavi utakaozihusisha wilaya za Mpanda (Rukwa) na sehemu ya Wilaya ya Urambo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Utangazaji la Tanzania (TBC), linatarajia kurusha nchi nzima matangazo ya mwenendo wa zoezi la uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani utakaofanyika baadaye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MREMA NAYE ATANGAZA RASMI KUMPIGIA KAMPENI KIKWETE 2010 Waandishi Wetu MBUNGE wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ameponda maelekezo ya Rais Jakaya Kikwete kwa wanasiasa kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mufti aunda kamati kuwahamasisha nchi nzima na Lucy Ngowi VIJANA wa Kiislamu nchini wamehamasishwa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi nchini katika kipindi hiki cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabaraza; Leo nimesikia katika udondozi wa magazeti kupitia redio kuwa Waziri Celina Kombani yuko ndani ya Sakata la Jerry Muro. Mwenye taarifa zaidi atujuze...
0 Reactions
111 Replies
14K Views
Nimetoka sasa katika Mkutano mkuu wa Mwanza wa Takukuru ambako Rais Kikwete alikuwa Mgeni rasmi hapa jijini Mwanza. Kikwete wakati wa kufungua mkutano wa mwaka wa TAKUKURU, emeonyesha furaha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Alitimuliwa pamoja na Baregu na kanyimwa haki zote za msingi kama mwajiriwa kama mafao etc. Kweli inasikitisha kwa hali inayoendelea hapo UDSM. Inahisiwa kuwa alishiriki kwenye mgomo wa wanafunzi...
0 Reactions
49 Replies
11K Views
nasema TZ ikiendelea kulala kama argentina basi itafika siku tutaambiwa kuwa ZNZ siyo ya kwetu. waingereza wameanza kuchimba mafuta falklands wakati argentina wakiwa wamelala. mfano mzuri ni china...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Huyu alikuwa mwl. wa hisabati pale UDSM aliyependa sana mizaha akiwa darasanai, mojawapo ni hii hadithi hapa: Hapo zamani za kale akili zilikuwa zinauzwa. Basi mtu mmoja akaenda kununua akili...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mara kimepanga kufanya maandamano makubwa ya kuingia ndani ya mgodi wa dhahabu wa North Mara, wilayani Tarime kudai asilimia moja ya vijiji...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari ifuatayo ni tetezi, bado nafuatilia kujua kama ni ya kweli. hasa kufahamu ni kampuni gani imekumbwa na maswahiba haya. "majambazi yamevamia ofisi za kampuni mpya ya simu jana mahira ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
ASEMA WATAKAONUNUA KURA, WATAKAOOMBA RUSHWA KUKIONA Frederick Katulanda, Mwanza RAIS Jakaya Kikwete amesema ataisaini kwa mbwembwe sheria ya matumizi ya fedha katika uchaguzi na kuwaonya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani naomba kueleweshwa hivi kwa nini kusiwepo na kipindi cha ukomo cha ubunge kama ilivyo kwa rais. Raisi TZ ana vipindi viwili vya miaka mitano mitano cha kuwa rais. Unakuta mbunge huyohuyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna minon'gono nimeisikia lakini sijaithibitisha kuwa Mwenyekiti wa UWT Mheshimiwa Sophia Simba kamtosa HASNA MWILIMA na si Katibu Mkuu tena wa UWT. Mwenye kujua atujuze.
0 Reactions
60 Replies
11K Views
Sioni vijana (kati ya miaka 20 - 30) wakipata nafasi muhimu katika siasa za nchi zetu za Afrika. Nafasi nyingi za juu za kisiasa zimekaliwa na wazee walioshiba miaka. Hii ina maana kwamba vijana...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema watakaojihusisha au kutuhumiwa kwa vitendo vya rushwa kwenye mchakato wa uchaguzi ndani ya vyama vya siasa na wakati wa uchaguzi mkuu ujao, watachukuliwa hatua kali za...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Alisema anayekaimu nafasi hiyo kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo, Amina Makillagi. Kwa mujibu wa Makame, UWT inasikitishwa na uvumi ambao umesambaa kuwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni mwaka huu 2010. Tafadhali leteni updates za mchakato wa uchaguzi huo bila kujali chama au aina ya uchaguzi (Rais, Wabunge, n.k) Itakuwa vema tukipeana updates...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Hi to all wadau wa kiringe hiki chenye wataalam wa uchambuzi wa mambo kadha wa kadha. Naomba mfungue attachment niliyotuma muweze kuona jinsi wawakilishi wetu pale Bungeni Dodoma wanavyotupigania...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom