Raisi Jakaya Kikwete amehitimisha uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais kwa kumteua Bw. Ismail Jussa Ladhu, wa CUF na Janet Mbene wa CCM kuwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa...
Ni mtizamo wangu kwamba kutokana na viongozi wa vyama vikubwa vya upinzani kuamua kugombea ubunge,ni wazi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuongezeka idadi ya wabunge wa upinzani bungeni kwenye...
Ili kupunguza ajali barabarani, Serikali ya Tanzania imeamua kuweka Gavana kwenye kila Basi na Lori eti kudhibiti mwendokasi wa Magari haya.
Lakini Barabara zetu bado ni mbovu, zina matuta...
Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo.
Be it in Social aspect, economy, political...
Tetemeko lililotokea jana huko Chile ni moja ya matetemeko makubwa sana kutokea duniani. Vipimo vyake vilikuwa 8.8 kwenye mzani wa Richter. Hakika hili lilikuwa kubwa zaidi kuliko lile la Haiti...
Nadhani kuna mtu anatakiwa kusema; hawa viongozi sasa hivi wanawanchanga wananchi. Wanapita mikoani wakifanya shughuli za serikali huku wakiwaasa wananchi kuwa waangalifu na watu wanaopiga kampeni...
MBUNGE wa Sikonge, Said Nkumba (CCM) juzi jioni alimuacha hoi Waziri Mkuu Mizengo Pinda, pale alipowapa salamu ya shikamoo watoto ili pamoja na wazazi wao wamchague tena kuendelea kuwa mbunge wa...
Hivi kweli viongozi wanakuwa salama wanapo kuwa ziarani?
Hapa muheshimiwa Pinda hicho kiti alicho simamia kingeteguka angepona kweli hapo? Na mifupa hiyo ya uzeeni si ingekuwa balaa hapo tunaanza...
na Mwandishi Wetu, Urambo
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amemmwagia sifa kemkem Spika wa Bunge, Samuel Sitta akisema amejenga Bunge lenye sifa na umakini.
Pinda ambaye majuzi alimmwagia sifa...
First lady Salma Kikwete a.k.a Mama JK alikuwa mwalimu wa Mbuyuni shule ya msingi wakati JK alikuwa waziri.
First lady Salma Kikwete anayajua matatizo ya elimu na walimu kwa ujumla.
Je ametoa...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Maalumu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia na kupendekeza maboresho ya sekta ya madini nchini, Jaji Mark Bomani, amesema hatua ya kampuni ya African Barrick...
Jana nilikuwa naangalia Taarifa ya Habari Channel ten, nikamuona Aisha Kigoda akigawa Misaada huko Handeni, Moja kati ya Misaada aliyogawa ni Mpira mmoja wa Miguu na mmoja wa Netball kwa Wanafunzi...
Spika BLW Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho
MUWAZA inakutunukia pongezi zake za dhati kwa matamshi yako ya kizalendo ya kutetea uhuru, uwezo na nguvu za BLW kwa kutamka kwamba "Hakuna Mtu au...
Our journalists, particularly those that work for The Guardian, continue to exhibit signs of very low understanding of facts and figures. Do neither the Reporters nor the Editors know that a...
Rais Kikwete ameanza kuhutubia Taifa katika utaratibu wa mwisho wa mwezi. Ameanza kuzungumzia suala la rushwa katika uchaguzi kama alivyozungumzia kule kwenye Mkutano wa TAKUKURU Mwanza.. more to...
NEC technically locks out CCM presidential aspirants
By Rodgers Luhwago
28th February 2010
President Jakaya Mrisho Kikwete
Any CCM member seeking nomination as the ruling...
kwanza napenda niwashukru japo si kwa furaha wanablog hii kwani mnaonekana wenye mtazamo wa kutaka kuleta mapinduzi lakini shabaha ndiyo mbovu.
pili nimpe pole rais wa jamhuri ya muungano wa...
Na Nkwazi Mhango
UTHIBITISHO kwamba kampuni ya BAE Systems ya Uingereza imetembeza rushwa ili kupata kuiuzia Tanzania rada ya kijeshi (Plessey Commander Fighter Control System), unatupa changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.